Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hausaidii mwanaume anapokwama bali unahusika kuendesha familia kwa kipato chako, nguvu kazi, usimamizi n.k. Yani ukiwa kwenye ndoa lazima uwe na mchango wa kuendesha familia, huwezi kusema upo tu kama boga au Jiwe kwa sababu ni mwanamke huna mchango wowote au eti ni kama fire hadi moto uwake ndio ujitokeze kuzima. Lazima uwe active kuendesha familia.
Umeniona wapi tena?🙆🏽♀️Sio hiyo yakukoboana wanawake kwa wanawake
Nilifikiri hii ni common sense tu kumbe common sense is not so common!ephen_ kwenye ndoa au ile ya kuishi pamoja , huyo ni life partner wako, mnafanya mambo kwa pamoja , mnajenga familia kwa pamoja na pesa zenu ni mali ya familia , hakuna mwenye pesa zake binafsi , yeyote atakae dokoa pesa kaibia familia, hakuna kuhongana humo, kwa sababu vyote ni vyenu, ukiona kwenye ndoa mnahongana wewe jua tu nyie ni wahalifu na majambazi mlio amua kuishi pamoja , mnaviziana tu .
Wanajiamulia mambo sana mwenetu 😅Dahh mnapiga kwenye mshono! Sijui mnatoa wapi hizi habari🤔
Kwa nini mkuu?Nilifikiri hii ni common sense tu kumbe common sense is not so common!
Kwenye ndoa , hakuna pesa yangu na pesa yako linapokuja suala la ustawi wa familia..
Wote wana haki ya kutunzwa, inabidi kutunzana..
Mtasaidiazana kwenye dharura..
Hio sio charity organization kwamba mmoja ni mfadhili na mwingine ni mnufaika..
Mwanaume ana haki pia ya kupunguziwa mizigo ya kiuchumi na mkewe, hasa kama mke ana uwezo mkubwa...
Naona wanajiamlia tu na mambo kwa ground ni different 🤭Wanajiamulia mambo sana mwenetu 😅
Tuache utani ume preach somo zuri kwa huu uzi, ila harass iko pale pale viva arsenal 🔥Namimi baada ya City kutoa sare na Bournemouth nikaamua kuchukua likizo fupi hapa jukwaani maana huku mtaani nako nilikuwa napitia magumu kwa hiyo sikujua ni wapi nitakuwa safe dhidi ya harassments zenu.
Mpaka pale nilipoona ku stream series ndio njia pekee ya ku avoid hayo yote.
ephen_ kwenye ndoa au ile ya kuishi pamoja , huyo ni life partner wako, mnafanya mambo kwa pamoja , mnajenga familia kwa pamoja na pesa zenu ni mali ya familia , hakuna mwenye pesa zake binafsi , yeyote atakae dokoa pesa kaibia familia, hakuna kuhongana humo, kwa sababu vyote ni vyenu, ukiona kwenye ndoa mnahongana wewe jua tu nyie ni wahalifu na majambazi mlio amua kuishi pamoja , mnaviziana tu .
Suala la kuendesha familia kama mke na mume huwa nafikiri liko straight sana wala halihitaji mijadala mingi lakini huwa nashangaa linaibua mijadala mingi sana mikali na ya kushangaza kwenye roles na uwajibikaji.Kwa nini mkuu?
Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.ephen_ kwenye ndoa au ile ya kuishi pamoja , huyo ni life partner wako, mnafanya mambo kwa pamoja , mnajenga familia kwa pamoja na pesa zenu ni mali ya familia , hakuna mwenye pesa zake binafsi , yeyote atakae dokoa pesa kaibia familia, hakuna kuhongana humo, kwa sababu vyote ni vyenu, ukiona kwenye ndoa mnahongana wewe jua tu nyie ni wahalifu na majambazi mlio amua kuishi pamoja , mnaviziana tu .
Dr. Mariposa umeacha kusagana?Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐
Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃
Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol
Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂
Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄
Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
Hahahaha hizi mambo zipo sana , ndoa za kuviziana , unaibia familia yako unaenda kuboresha familia ya baba yako kama sio ugoigoi ni nini?, mimi hata akichepuka naweza msamehe ila sio kufanya ujambazi ndani ya familiaComments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Ukiwa kama mke sio?Naturally kuhudumia ni wajibu wenyu acheni kerrrerrre!
Huyo si mke bali mgidaji na ipo siku atamkimbia kaka yakoComments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Kabisa limenyooka mno , na kuna wanawake na wanaume wamenyooka pia , ila majambazi wamejazana ndani ya familia ndio wanaibua mizozoSuala la kuendesha familia kama mke na mume huwa nafikiri liko straight sana wala halihitaji mijadala mingi lakini huwa nashangaa linaibua mijadala mingi sana mikali na ya kushangaza kwenye roles na uwajibikaji.
Hawezi kumkimbia! Amkimbie atakula nini? Kazi hataki kanenepeana tuHuyo si mke bali mgidaji na ipo siku atamkimbia kaka yako