Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Kanda ya ziwa Wanaume wooote ni lazima mhudhurie pale yowe (mwano) unapopigwa.
Huko kwenu sijui ni ninyi kina mama ndio wahusika wakuu wa tukio la namna hiyo sijui lkn KIUMENI LAKE ZONE WAHUSIKA WAKUU HASA USIKU NI SISI WANAUME
Mjini ukisikia mwano inatakiwa ujifungie ukitoka nje kiboya hao wezi au majambazi wanaweza kukuua
 
Mambo mengi mbona yanafaa na mazuri tu.
Dar tunasumbuliwa na panya road kwasababu akuna umoja.

Jirani akifa sio vibaya ukishiriki mazishi yake.
Ukitembea na mke wa mtu kwa huko unapigwa faini ila kwa Dar mwenye mke anakuuwa,sijui nafuu ni ipi?

Hao ni wakulima wanajaribu kuonganisha nguvu walime,wafanye palizi kwa pamoja kwa kila shamba,mbona imeka njema sana mkuu.
Jiji a Dar waganga ni wengi,ushirikina ni hulka mbovu za watu weusi sio Tanzania tu bali nchi nyingi za Africa.
 
Namsaidia hapa baadhi ya vijiji,maana watu wanadhani kadanganya lakini baadhi ya mambo ni practical katika hizi sehemu:Geita(Mwatulole,Magogo...kupata kila baada ya nyumba tano kuna kilinge cha mganga ni common)

Sengerema(Bupandwa,Buhindi....mtu kuugua Malaria ukamkuta kwa mganga wa kienyeji ni kugusa)

Msalala(Kakola...yupo mzee wao famous kupita na maspika kuhumiza watu waende nzengo wanaita kukiwa msibani ni kugusa(kuna siku nimetoka night shift nikashangaa mlango wa chumba nlipokuwa nimepanga unagongwa naambiwa niamke nikashiriki nzengo, dah basi tu nlienda tu ile kibinadamu lakini mengi yapo hajadanganya)
 
Mwatulole,shelabera,,nyankumbu,maeneo yangu hayo mkuu
 
Kwa mgeni hayo mambo yanakera sana
 
Mwatulole,shelabera,,nyankumbu,maeneo yangu hayo mkuu
Nlikaa pande za Mwatulole kuna jamaa pale wanauza vifaa vya piki piki upande wa pili ilipo Waja boys.Wale jamaa wana amini ushirikina sijapata kuona, yani kila siku analetwa mganga eti kusafisha eneo(mtu asipouza siku moja kesho yake mganga analetwa, mpaka nikasema hii sasa ndio ulete habari zako sijui nlisoma biashara unafungua vitu vyako na unataka utumie principles zako za marketing and stuff,umekwisha)
 
Mkuu umenikumbusha Mwatulole hapo nilikuwa na demu wangu nilikuwa naenda kujipigia
 
Kuna ya ukweli na uzushi plus chumvi nyingiiiiiiiiiiiiii
 
Magugu bado mchele upo ? Au na nyie mnaagiza mchele wa mbeya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…