Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Man kuna vitu anasema ni sahihi kuna pointi namba sita hii ni common kwa Wahaya na Wasukuma.Mimi ni Mhaya ntakupa mfano hai.Tulikuwa tunasali kanisa la Rumuli kuna siku kaletwa padri sijui alikuwa sio mhaya kafanya mafundisho wakati wa misa kwa kiswahili(Mbona kesho yake ilikuwa kelele kwa askofu ungekuwa mhaya ningekueleza walivyokuwa wanasema ila kifupi walisema ata sadaka wataacha kutoa maana misa haikunoga)
Kwa vijijini ni maeneo mengi sana ukabila hasa upande wa biashara Tanganyika hii unahusika sana tena sana. Hata kule kusini kuna hao Wamatengo labda biashara unayofanya kusiwepo na mwenyeji anayefanya hiyo biashara pia.
 
aliesema shilabela kadanganya shilabela ni ka mtaa kenye pilika pilika nyingi kwa geita mambo ya kishamba shilabela hapo uongo na kuhusu magogo napo ni uongo maana ule ni mtaa mpya na wakishua haswa huwezi kukuta hivyo vituko
 
We magogo unaijua ya juzi tu mimi nimekaa pale 2021 waganga walikuwa wengi kuzidi wakazi.Mitaa ambayo wamejenga Royal kuna sehemu kabla ya kufika kule inaitwa Igembesabo ni waganga watupu sema baada ya watu kuanza ujenzi kwa kasi naona waganga kidogo kidogo wanafunga vilinge vyao
 
aliesema shilabela kadanganya shilabela ni ka mtaa kenye pilika pilika nyingi kwa geita mambo ya kishamba shilabela hapo uongo na kuhusu magogo napo ni uongo maana ule ni mtaa mpya na wakishua haswa huwezi kukuta hivyo vituko
Unapajua 14 Kambarage wewe? Shilabela barabarani hapo wewe ndio unaongelea ingia ndani ndani huko uone.
 
Umeandika uongo mwingi sana labda utaje ulikuwa kanda ya ziwa mwaka 1980.

Sasa upigwe mwano wewe umelala tu ndani unaona ni sawa?
Faini itakuhusu tu!
Msilazimishe kila mtu ambaye sio wa kwenu kufuata mila zenu za kishamba watu wamekuja na mishe zao nyie mnawaletea upuuzi wenu wa huko unafikiri kila mtu mshirikina kama nyie
 
Ila haya mambo sijui ya nzengo mimi nilishaonaga uzushi tu nimeishi miaka mi nne ila sijawahi kushiriki hizo mambo zao.

Nikipitaga mtaa naonaga wenyeji wananikata jicho kali kweli lakini mimi sinaga muda na mtu maana hamna anaenisaidia kwa chochote.
 
Kuna vitu kasema ni sawa.Kama hiki cha kwanza usukumani maeneo mengi wanafanya hivyo(Mfano hai KAKOLA kuna mzee alikuwa akipita na baiskeli na kipaza sauti ukitokea msiba hadi unatolewa usingizini ukiwa umelala mpaka ufike nzengo wanaita kama ni nzengo yenu)
Hii bado ipo huko Geita karibu maeneo yote ya mkoa huo
 
Vingine sio vijijini mfano Geita(sasa hivi ni manispaa kama sijakosea).Nadhani kila baada ya nyumba tano utapata nyumba moja ni ya mganga wa kienyeji nimekaa pale mpaka nikawa nawauliza hii ni town au ni kijiji bado mbona mnakuwa na mambo ya kiswahili sana
Uko sahihi kabisa, huo mkoa una mambo mengi ya kushangaza
 
Man kuna vitu anasema ni sahihi kuna pointi namba sita hii ni common kwa Wahaya na Wasukuma.Mimi ni Mhaya ntakupa mfano hai.Tulikuwa tunasali kanisa la Rumuli kuna siku kaletwa padri sijui alikuwa sio mhaya kafanya mafundisho wakati wa misa kwa kiswahili(Mbona kesho yake ilikuwa kelele kwa askofu ungekuwa mhaya ningekueleza walivyokuwa wanasema ila kifupi walisema ata sadaka wataacha kutoa maana misa haikunoga)
Ha ha uko sahihi misa /ibada za kihaya zina vibe yake na ndo zilizozoeleka, kwa asiye muhaya lazima apate ugumu kuelewa
 
Hiyo ya kulima barabara niliwahi kukutana nayo jamaa ananiletea habari eti tunatakiwa tukatengeneze barabara nilimletea noma kichizi yani nikamwambia hilo ni jukumu langu au la serekali?

Yani mi nilipe kodi na bado nikalime barabara? Nikamuuliza we mwenyekiti kazi yako ni nini? Mi niache majukumu yangu ya kukuza uchumi wangu binafsi ambayo ndani yake nalipa kodi niende nikachimbe barabara gharama zangu za maisha za siku hiyo utazilipia wewe? Au kuna posho mnalipa ili nije?

Nilimzingua kinoma yan kwanza sehem yenyewe nilikua naishi kibachela tu sina mke wala nini sikua na hofu kwamba nikizingua inaweza kumuathiri mtu mwingine
Mi nshawahi changishwa mchango wa ujenzi wa kisima, niligoma kwa kuwaambia wananzengo kuwa mi ni mlipa kodi hawakunielewa hadi mtendaji wa kata akaingilia kati kusuluhisha.kuishi usukumani ni kipengele
 
Hawajawahi sungu sungu kukuburuza kwenda kutemya? Hapo ndio maajabu na watu wanakula mboko vibaya
 
Back
Top Bottom