Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema hivi.Wamatengo wana shida gani mkuu zaidi ya uongo tu ndo kasoro yao kubwa.. ila kwenye biashara popote wanatia kambi,mbona wakinga kibao wametoboa huku miaka na miaka na wanazidi kuongezeka tu..
Vitaje vijiji haraka
Simiyu ,sangamwalugesha,mpindo ,ngulinguli ,kina mwigulu,ligangabilili ,zebeya ,dutwa,dulungwa,wigelekelo,badi,inenwa
Usukumani kote hadi mijini.Baadhi nina ushahidi nayo mfano apo masumbwe mtu akifa usipoenda mazikoni faini inakuhusu
Kwa hiyo unataka kutueleza kuwa wewe umeishi vijiji vyote vya kanda ziwa? Unaijua kanda ya ziwa au unaiskia redioni?Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa faini tofauti na mjini unaweza usijue kama mtaani kuna msiba.
2 Nilishuhudia baba akicharazwa bakora kama mwanafunzi na wazee wa kijiji kosa la kumtelekeza mke wake Hii tabia ya kucharaza bakora watu waxima ipo pia uchagani na umasaini,na kanda ya ziwa.
3 kila nyumba ina mganga wake,nilikuwa kwenye mahusiano na binti mrembo akapigiwa simu na mama yake kuwa weekend aende akampeleke kwa mganga konki amepatikana maeneo fulani.
4.Biashara ndogo hata kuuza matunda watu wanaroga.kwenye mazao ndio usiseme,bila kutumia dawa hekari nzima ya mahindi utatoa debe mbili,wanaiba mazao kimazingaombwe.
5.usiku akitokea mwizi au ntu akihisi kuibiwa itapigwa kelele watu wote muamke kuifuata hiyo kelele inaitwa mwano,usipoitikua wito faini inakuhusu..
6.kila mtu anadhani wewe ni wa kabila lao,ukifungua duka anakuja kukuongelesha kilugha chao,habari ja nero,habbbbbbbbb,ppoopp tttkjhytt,ukijibu kiswahili wanajua wewe sio mwenzao kesho hawaji kununua kwako.
7 sababu ya kijinga kabisa ni ime unatongoza nsichana hasemi kama ni mke wa mtu,mkiingia gheto au lodge anamtext mumewe unashikwa ugoni na kyoigwa faini ya maana isiyopungua laki tano,mgoni wako na mumewe wanagawana hela ,wanaendelea na maisha tao
8 Msimu wa kiangazi ndio ujinga mwingi,kila week ni mikutano ya kijiji kujadili ujinga,mara kujitolea kupalilia njia au varabara za kijijini,usipotokea faini.
Ni ujinga ujinga tu
Huku Magugu Babati nilipo kwa sasa hukuna huo ujinga
KweliUmeandika uongoo wotee
Ni Mji wa Geita mkuu (Geita Town Council) na si ManispaaVingine sio vijijini mfano Geita(sasa hivi ni manispaa kama sijakosea).Nadhani kila baada ya nyumba tano utapata nyumba moja ni ya mganga wa kienyeji nimekaa pale mpaka nikawa nawauliza hii ni town au ni kijiji bado mbona mnakuwa na mambo ya kiswahili sana
Kuna sehemu nlisoma kwamba Geita na Rufiji kitu kama hicho zimepandishwa hadhiNi Mji wa Geita mkuu (Geita Town Council) na si Manispaa
Yawezekana zimepandishwa juzi tu, maana mwaka jana mwezi wa nane nilikuwa huko na palikuwa panatambulika kama mji, hii nchi sijui huwa wanatumia vigezo gani kupandisha hadhi mji kuwa manispaaKuna sehemu nlisoma kwamba Geita na Rufiji kitu kama hicho zimepandishwa hadhi
Kuna mpuuzi mmoja alinipoga faini kosa Nina nyumba huko Kanda ya ziwa eti kisa nilijenga na hivi Sasa siishi huko.Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa faini tofauti na mjini unaweza usijue kama mtaani kuna msiba.
2 Nilishuhudia baba akicharazwa bakora kama mwanafunzi na wazee wa kijiji kosa la kumtelekeza mke wake Hii tabia ya kucharaza bakora watu waxima ipo pia uchagani na umasaini,na kanda ya ziwa.
3 kila nyumba ina mganga wake,nilikuwa kwenye mahusiano na binti mrembo akapigiwa simu na mama yake kuwa weekend aende akampeleke kwa mganga konki amepatikana maeneo fulani.
4.Biashara ndogo hata kuuza matunda watu wanaroga.kwenye mazao ndio usiseme,bila kutumia dawa hekari nzima ya mahindi utatoa debe mbili,wanaiba mazao kimazingaombwe.
5.usiku akitokea mwizi au ntu akihisi kuibiwa itapigwa kelele watu wote muamke kuifuata hiyo kelele inaitwa mwano,usipoitikua wito faini inakuhusu..
6.kila mtu anadhani wewe ni wa kabila lao,ukifungua duka anakuja kukuongelesha kilugha chao,habari ja nero,habbbbbbbbb,ppoopp tttkjhytt,ukijibu kiswahili wanajua wewe sio mwenzao kesho hawaji kununua kwako.
7 sababu ya kijinga kabisa ni ime unatongoza nsichana hasemi kama ni mke wa mtu,mkiingia gheto au lodge anamtext mumewe unashikwa ugoni na kyoigwa faini ya maana isiyopungua laki tano,mgoni wako na mumewe wanagawana hela ,wanaendelea na maisha tao
8 Msimu wa kiangazi ndio ujinga mwingi,kila week ni mikutano ya kijiji kujadili ujinga,mara kujitolea kupalilia njia au varabara za kijijini,usipotokea faini.
Ni ujinga ujinga tu
Huku Magugu Babati nilipo kwa sasa hukuna huo ujinga
Hhhhhh kuzika waende wachache tu wengine na maishaUsukumani kote hadi mijini.
Na mimi watani zangu, basi watuvumilie tu..!!Wasukuma watani zangu bwana🤣🤣
🤣🤣🤣watuzoeeNa mimi watani zangu, basi watuvumilie tu..!!
Kwamba hujaona mkuu?!!!Mbona sijaona chochote kibaya hapo
Umewahi kuishi Kanda ya ziwa mkuu,hasa usukumani??Umeandika uongoo wotee