Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama vitu vingi ulivyotaja vinamake sense na ni vya muhimu ukiondoa issue za uganga?Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa faini tofauti na mjini unaweza usijue kama mtaani kuna msiba.
2 Nilishuhudia baba akicharazwa bakora kama mwanafunzi na wazee wa kijiji kosa la kumtelekeza mke wake Hii tabia ya kucharaza bakora watu waxima ipo pia uchagani na umasaini,na kanda ya ziwa.
3 kila nyumba ina mganga wake,nilikuwa kwenye mahusiano na binti mrembo akapigiwa simu na mama yake kuwa weekend aende akampeleke kwa mganga konki amepatikana maeneo fulani.
4.Biashara ndogo hata kuuza matunda watu wanaroga.kwenye mazao ndio usiseme,bila kutumia dawa hekari nzima ya mahindi utatoa debe mbili,wanaiba mazao kimazingaombwe.
5.usiku akitokea mwizi au ntu akihisi kuibiwa itapigwa kelele watu wote muamke kuifuata hiyo kelele inaitwa mwano,usipoitikua wito faini inakuhusu..
6.kila mtu anadhani wewe ni wa kabila lao,ukifungua duka anakuja kukuongelesha kilugha chao,habari ja nero,habbbbbbbbb,ppoopp tttkjhytt,ukijibu kiswahili wanajua wewe sio mwenzao kesho hawaji kununua kwako.
7 sababu ya kijinga kabisa ni ime unatongoza nsichana hasemi kama ni mke wa mtu,mkiingia gheto au lodge anamtext mumewe unashikwa ugoni na kyoigwa faini ya maana isiyopungua laki tano,mgoni wako na mumewe wanagawana hela ,wanaendelea na maisha tao
8 Msimu wa kiangazi ndio ujinga mwingi,kila week ni mikutano ya kijiji kujadili ujinga,mara kujitolea kupalilia njia au varabara za kijijini,usipotokea faini.
Ni ujinga ujinga tu
Huku Magugu Babati nilipo kwa sasa hukuna huo ujinga
Interesting..Msilazimishe kila mtu ambaye sio wa kwenu kufuata mila zenu za kishamba watu wamekuja na mishe zao nyie mnawaletea upuuzi wenu wa huko unafikiri kila mtu mshirikina kama nyie
Bugarama au.Kuna vitu kasema ni sawa.Kama hiki cha kwanza usukumani maeneo mengi wanafanya hivyo(Mfano hai KAKOLA kuna mzee alikuwa akipita na baiskeli na kipaza sauti ukitokea msiba hadi unatolewa usingizini ukiwa umelala mpaka ufike nzengo wanaita kama ni nzengo yenu)
Keko penyewe Buga sijakaa kiongoziBugarama au.
Sawa mkuu wangu.Keko penyewe Buga sijakaa kiongozi
Wamatengo wana shida gani mkuu zaidi ya uongo tu ndo kasoro yao kubwa.. ila kwenye biashara popote wanatia kambi,mbona wakinga kibao wametoboa huku miaka na miaka na wanazidi kuongezeka tu..Kwa vijijini ni maeneo mengi sana ukabila hasa upande wa biashara Tanganyika hii unahusika sana tena sana. Hata kule kusini kuna hao Wamatengo labda biashara unayofanya kusiwepo na mwenyeji anayefanya hiyo biashara pia.
Hkuna sababu yoyote ya maana ya kumfanya mwanaume halisi ashindwe kuishi mahala fulani kw vigezo ulichosema ni sababu! WEWE UNA HOMONI ZA KIKE TUKatika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa faini tofauti na mjini unaweza usijue kama mtaani kuna msiba.
2 Nilishuhudia baba akicharazwa bakora kama mwanafunzi na wazee wa kijiji kosa la kumtelekeza mke wake Hii tabia ya kucharaza bakora watu waxima ipo pia uchagani na umasaini,na kanda ya ziwa.
3 kila nyumba ina mganga wake,nilikuwa kwenye mahusiano na binti mrembo akapigiwa simu na mama yake kuwa weekend aende akampeleke kwa mganga konki amepatikana maeneo fulani.
4.Biashara ndogo hata kuuza matunda watu wanaroga.kwenye mazao ndio usiseme,bila kutumia dawa hekari nzima ya mahindi utatoa debe mbili,wanaiba mazao kimazingaombwe.
5.usiku akitokea mwizi au ntu akihisi kuibiwa itapigwa kelele watu wote muamke kuifuata hiyo kelele inaitwa mwano,usipoitikua wito faini inakuhusu..
6.kila mtu anadhani wewe ni wa kabila lao,ukifungua duka anakuja kukuongelesha kilugha chao,habari ja nero,habbbbbbbbb,ppoopp tttkjhytt,ukijibu kiswahili wanajua wewe sio mwenzao kesho hawaji kununua kwako.
7 sababu ya kijinga kabisa ni ime unatongoza nsichana hasemi kama ni mke wa mtu,mkiingia gheto au lodge anamtext mumewe unashikwa ugoni na kyoigwa faini ya maana isiyopungua laki tano,mgoni wako na mumewe wanagawana hela ,wanaendelea na maisha tao
8 Msimu wa kiangazi ndio ujinga mwingi,kila week ni mikutano ya kijiji kujadili ujinga,mara kujitolea kupalilia njia au varabara za kijijini,usipotokea faini.
Ni ujinga ujinga tu
Huku Magugu Babati nilipo kwa sasa hukuna huo ujinga
Bado hujazungumzia habari za kunya vichakani.Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.

Hiyo ya mwisho sio sababu ya kijinga ni sababu ya KIJANJA, kukutana kujadili palizi au kutengeneza barabara kwa pamoja (Harambee) inakuaje akili ya kijinga?Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa faini tofauti na mjini unaweza usijue kama mtaani kuna msiba.
2 Nilishuhudia baba akicharazwa bakora kama mwanafunzi na wazee wa kijiji kosa la kumtelekeza mke wake Hii tabia ya kucharaza bakora watu waxima ipo pia uchagani na umasaini,na kanda ya ziwa.
3 kila nyumba ina mganga wake,nilikuwa kwenye mahusiano na binti mrembo akapigiwa simu na mama yake kuwa weekend aende akampeleke kwa mganga konki amepatikana maeneo fulani.
4.Biashara ndogo hata kuuza matunda watu wanaroga.kwenye mazao ndio usiseme,bila kutumia dawa hekari nzima ya mahindi utatoa debe mbili,wanaiba mazao kimazingaombwe.
5.usiku akitokea mwizi au ntu akihisi kuibiwa itapigwa kelele watu wote muamke kuifuata hiyo kelele inaitwa mwano,usipoitikua wito faini inakuhusu..
6.kila mtu anadhani wewe ni wa kabila lao,ukifungua duka anakuja kukuongelesha kilugha chao,habari ja nero,habbbbbbbbb,ppoopp tttkjhytt,ukijibu kiswahili wanajua wewe sio mwenzao kesho hawaji kununua kwako.
7 sababu ya kijinga kabisa ni ime unatongoza nsichana hasemi kama ni mke wa mtu,mkiingia gheto au lodge anamtext mumewe unashikwa ugoni na kyoigwa faini ya maana isiyopungua laki tano,mgoni wako na mumewe wanagawana hela ,wanaendelea na maisha tao
8 Msimu wa kiangazi ndio ujinga mwingi,kila week ni mikutano ya kijiji kujadili ujinga,mara kujitolea kupalilia njia au varabara za kijijini,usipotokea faini.
Ni ujinga ujinga tu
Huku Magugu Babati nilipo kwa sasa hukuna huo ujinga
Yaani mi baba mzima nikapalilie barabara,hiyo ni kazi ya vijana au wanawakeHiyo ya mwisho sio sababu ya kijinga ni sababu ya KIJANJA, kukutana kujadilo palizi au kutengeneza barabara kwq pamoja (Harambee) inakuaje akili ya kijinga?
Homoni za kike wakati nilishikwa ugoni na mke wa mtu kimchongo nikapigwa faini laki tano,jesho yake nikasepaHkuna sababu yoyote ya maana ya kumfanya mwanaume halisi ashindwe kuishi mahala fulani kw vigezo ulichosema ni sababu! WEWE UNA HOMONI ZA KIKE TU
Hyo no 7 na no5 ipo bariad kijiji cha luguruHiyo No.7 nimeipenda ni dawa tosha ya uzinzi.nilishawahi kuona pia hiyo style huko Kigoma
Kwa upande fulani ni ujinga. Unalipa kodi kwaajili ya maendeleo ikiwemo miundombinu, sasa inakiawaje tena uje unichangishe au uniambie nikatengeneze barabara.Hiyo ya mwisho sio sababu ya kijinga ni sababu ya KIJANJA, kukutana kujadilo palizi au kutengeneza barabara kwq pamoja (Harambee) inakuaje akili ya kijinga?
branch ya Barabara inayoelekea shuleni italimwa na Kodi zenu kweli? au ni ujuaji wa TikTok.Kwa upande fulani ni ujinga. Unalipa kodi kwaajili ya maendeleo ikiwemo miundombinu, sasa inakiawaje tena uje unichangishe au uniambie nikatengeneze barabara.
Tuwawajibishe hawa watawala.