Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Wamatengo wana shida gani mkuu zaidi ya uongo tu ndo kasoro yao kubwa.. ila kwenye biashara popote wanatia kambi,mbona wakinga kibao wametoboa huku miaka na miaka na wanazidi kuongezeka tu..
Nimesema hivi.
Utapata shida endapo biashara huifanyao kuna Mmatengo pia ana ifanya.
Biashara nyingi Mbinga zinafanywa na wageni km ulivyotaja hapo,sasa fuatilia vizuri uone ni Wamatengo wangapi wanaofanya biashara wafanyazo Wakinga,Wabena,Wakurya,Wachaga na wengineo.

Nenda kalime karibu na shamba la Mmatengo ulete ushuhuda hapa.
 
Kwa hiyo unataka kutueleza kuwa wewe umeishi vijiji vyote vya kanda ziwa? Unaijua kanda ya ziwa au unaiskia redioni?
 
Ni Mji wa Geita mkuu (Geita Town Council) na si Manispaa
 
Kuna sehemu nlisoma kwamba Geita na Rufiji kitu kama hicho zimepandishwa hadhi
Yawezekana zimepandishwa juzi tu, maana mwaka jana mwezi wa nane nilikuwa huko na palikuwa panatambulika kama mji, hii nchi sijui huwa wanatumia vigezo gani kupandisha hadhi mji kuwa manispaa
 
Kuna mpuuzi mmoja alinipoga faini kosa Nina nyumba huko Kanda ya ziwa eti kisa nilijenga na hivi Sasa siishi huko.

Nina mpango nikirudi alipe hela yangu, lazima afirw@, ngoja nikirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…