Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

We bro Punguza uingo Magogo ni Mji Mpya umepangwa na kupimwa 2014 ,2015 na ndipo zilipohamishiwa ofisi kubwa kubwa zote, Awali palikua ni pori la Akiba hapakuwa na Maisha ya watu we unazungumzia Magogo ipi?
 
Huu mbona ni ustaarabu tu kama ulivyoustaarabu Mwingine au Mpaka afanye Mzungu au Mwarabu? Binafsi Sioni shida Labda hivyo vipengele vya Waganga
 
We bro Punguza uingo Magogo ni Mji Mpya umepangwa na kupimwa 2014 ,2015 na ndipo zilipohamishiwa ofisi kubwa kubwa zote, Awali palikua ni pori la Akiba hapakuwa na Maisha ya watu we unazungumzia Magogo ipi?
unaelewa ulichoandika lakini?Unajua Royal sec ilipo?(Huo mtaa unaitwaje?).Igembesabo ipo Magogo haipo?We unaongelea Magogo ya kwenda Kasamwa wakati kuna upande huu wa pili opposite na Waja spring.Geita naijua vizuri kupita mpaka wazawa nimekaa Magogo kukiwa bado vichakani hadi umeme hujafika.Igembesabo ikiwa bado na kioski kile kimoja tu
 
Kwahiyo Ukianzia hiyo Tambukareli, Shilabela,Bombambili, Mwatulole, Magogo, Buhalahala, n.k ndio baada ya Nyumba mbili unakutana na Mganga?
 
Mimi nΓ chojua Geita Kila baada ya Nyumba tano kuna Mtingaji, Wale wachimbaji wadogowadogo unamkuta na Kalai lake anapambana kuosha Mchanga hususani Mitaa ya Nyankumbu, Nyantorontoro, Mpomvu, Samina huko.
 
Kwahiyo Ukianzia hiyo Tambukareli, Shilabela,Bombambili, Mwatulole, Magogo, Buhalahala, n.k ndio baada ya Nyumba mbili unakutana na Mganga?
Kwanza sio kila baada ya nyumba mbili.Magogo ya mwanzo walikuwa wanakaa waganga watupu(nimetengua kauli).Mwatulole ndio kila baada ya nyumba mbili.Hizo nyingine ndio sitaki kutoa data maana study nliyofanya kwenye hizo sehemu ilinichosha ikabidi ni draw hiyo conclusion.

Sema kwanini mnapenda kuamini uganga kupita kitu chochote kile?(kwamba unawapa matokeo ya haraka? Ni sehemu ya utamaduni wenu? Ni kukosa njia mbadala za kutatua changamoto za kimaisha? Ni sababu gani mpaka mji mzima unageuzwa hivyo)
 
Ukanda wa tabora ,shinyanga na mwanza huo upuuzi mwingi wengine ata akifumania na mke wake umesha mkula tayari et unapigwa neno moja linaitwa masumule then msela anachukua mke wake wanaendelea kuishi frsh tu hawa wajomba cjui wapoje
 
Haya bro Mtu pekee u Haya bwana Seth saint Kwamba Mwatulole kila baada ya Nyumba mbili kuna Mganga na Magogo yote Imejaa Waganga, Uongo huu unakuongezea nini Gentleman?
 
Sema kwanini mnapenda kuamini uganga kupita kitu chochote kile?(kwamba unawapa matokeo ya haraka? Ni sehemu ya utamaduni wenu? Ni kukosa njia mbadala za kutatua changamoto za kimaisha? Ni sababu gani mpaka mji mzima unageuzwa hivyo)
[/QUOTE]
Kwanza Sijapinga Tafiti yako ya waganga Maana sijawahi kuifanya hiyo Tafiti ninachopinga ni wewe kusema Shilabela, Mwatulole, Magogo , Nyankumbu eti kila baada ya Nyumba tano kuna Mganga wa Kienyeji Waliopo Geita Wanaweza kutusaidia, Miongoni mwa Mitaa iliyochanganya na kuchanganya hapo Geita ni hiyo, Nakuhakikishia kupata tu kiwanja hapo Shilabela si jambo jepesi, Hiyo Mwatulole unaweza pata ila kwa Mbinde, hapo Magogo watu wa Geita wanapafahamu wanaweza kutusaidia.
 
Sijui kama kuna eneo lolote linalofanana na haya mauongo yaliyoandikwa hapa. Ushindwe na ulegee.
 
Haya bro Mtu pekee u
Haya bwana Seth saint Kwamba Mwatulole kila baada ya Nyumba mbili kuna Mganga na Magogo yote Imejaa Waganga, Uongo huu unakuongezea nini Gentleman?
Kumbe Geita unajua tu kutaja majina ya sehemu tu basi.Sasa mimi nimekaa na juzi nimetoka Magogo hiyo nayokueleza.Sasa nakupa ukweli wa hiki nachosema.Ukiacha barabara ya lami kupanda na hii ya vumbi kwenda Igembesabo kuna nyumba tatu mkono wa kulia inayofuatia ni kilinge cha mganga,ukapanda juu kidogo kupita kanisa la rastafarian juu yake kuna kilinge pia,ukifika Igembesabo center chukua njia ya kanisa la EAGT nenda nyumba nne mbele kilinge. Hapa vingapi?(nimefupisha tu hapa),bado ukienda na hiyo njia kabla ya kufika hili eneo ambalo bado lipo chini ya maliasili huko sasa ndiko kuna makazi yao kabisa
 
... halafu kazi kubwa ya waganga wa Geita ni kuagua mambo ya utajiri wa dhahabu, ... yaani ni mwendo wa makafara kwenda mbele! ... Raia chunga mtoto wako, usijesema hujaambiwa!
πŸ˜…
 
Utaratibu wa watu wa vijijini ni tofauti, wale ni jamii moja zaidi ya watu wanaofahamiana.. Lakini siyo utaratibu kwenye inayoinukia.... Kuna ndugu zangu wengi wako maeneo ya Geita na maeneo mengine ya miji midogo yenye watu kama elfu au zaidi maisha ni mazuri , wanafanya biashara na zinaenda vizuri .. Ukienda kijijini lazima ufuate taratibu zao
 
.
.
9 Unarushiwa kakombola kadogo, kukupima, ukikashusha jiandae na msururu wa ORESHNIK! ... HAO JAMAA WACHAWI AISEE!
πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…