MamboMambo gani mkuu?
Hakuna viwanjaMwenge uo.
Pole sana mkuu
Unaandika kana kwamba sote tuko hapo...Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Hadi Mimi nimeshangaa sana Leo wamezingua sana haoIle kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Miradi gani barabara mbovu wanazichimbua na kuziacha na mashimoSubiri mwenge wa uhuru ufungue miradi huko
zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu πIle kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Eti mzalendo πzingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu π
lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo π
Uzalendo ni kufunga njia ili watu wasifanye kazi? Umewaza watu walikuwa wanawah wapizingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu π
lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo π
Mwenge? Mwenge unatembezwa na kuharibu kodi za wananchi halafu unafunga njia wananchi hao hao wasiende kuzalisha ili hio kodi ipatikane. Hebu kuweni serious msipoteze hela za wananchi kwa mambo ya yasiyo na msingi ya miaka 60 iliopita.zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu π
lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo π
unaniuliza mimi tena πMwenge? Mwenge unatembezwa na kuharibu kodi za wananchi halafu unafunga njia wananchi hao hao wasiende kuzalisha ili hio kodi ipatikane. Hebu kuweni serious msipoteze hela za wananchi kwa mambo ya yasiyo na msingi ya miaka 60 iliopita.
The world has moved on.unaniuliza mimi tena π
kama ni huo, ni vema ukapata heshima yake kizalendo....
hiyo ni miongoni mwa tunu muhimu sana za Taifa, ni lazima kwa umoja wetu kuzienzi na kuziheshimu sana π
and as Tanzanians we are moving and transforming our beautiful country in a speed and standards that transpires each and every patriotic country mens and womens πThe world has moved on.
What is MENS and WOMENS? OR you meant men and women?and as Tanzanians we are moving and transforming our beautiful country in a speed and standards that transpires each and every patriotic country mens and womens π
what do you mean, don't be confused mwalimu πWhat is MENS and WOMENS? OR you meant men and women?