Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu 🐒

lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo 🐒
Ni ujuha na upumbavu wa hali ya juu kufunga daraja,kivuko au barabara kwa shughuli ya kipuuzi iliyopangwa muda mrefu bila kutoa taarifa kwa umma kabla.
 
relax baba relax 🐒

ni mambo ya kitaifa, uvumilivu wako na ustahimilivu wako umesababisha mambo yamekwenda vizuri.
sasa endelea na safari na shughuli zako salama....

Asante kwa kuonyesha uzalendrooo wa hali ya juu kwenye mambo ya kitaifa kama hili la mwenge 👊💪
 
Wangetoa taarifa maprma siku flani daraja linafungwa watu watumie njia mbadala, kuliko unabe kama huu ..
 
relax baba relax 🐒

ni mambo ya kitaifa, uvumilivu wako na ustahimilivu wako umesababisha mambo yamekwenda vizuri.
sasa endelea na safari na shughuli zako salama....

Asante kwa kuonyesha uzalendrooo wa hali ya juu kwenye mambo ya kitaifa kama hili la mwenge 👊💪
Hicho kibatali ndo uzalendo?
Badala uzalendo ingekuwa tabia ya kulinda raslimali za taifa kama mbunga, na bandari!?

Yaani uzalendo kwako nikukera wengine?
 
zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu 🐒

lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo 🐒
Hivi bila mwenge miradi haiwezi kuzinduliwa wala kukamilika? Mwenge ndo unajenga?
Huo mwenge ukikesha mnaongeza idadi ya waathirika, hivi mnaandaa matamasha ya muziki na vijana wa kike na wa kiume na watumishi ambao wanakuwa nje ya nyumba zao ili iweje?
 
kiufupi ccm wanatupa kila sababu za kuwatoa madarakani ila tukishapokea 10k t shirt na kofia basi tunaona tumemaliza
 
Huu mwenge ni mradi wa watu kupiga hela
 
Back
Top Bottom