residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ni ujuha na upumbavu wa hali ya juu kufunga daraja,kivuko au barabara kwa shughuli ya kipuuzi iliyopangwa muda mrefu bila kutoa taarifa kwa umma kabla.zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu π
lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo π
relax baba relax πNi ujuha na upumbavu wa hali ya juu kufunga daraja,kivuko au barabara kwa shughuli ya kipuuzi iliyopangwa muda mrefu bila kutoa taarifa kwa umma kabla.
Wangetoa taarifa maprma siku flani daraja linafungwa watu watumie njia mbadala, kuliko unabe kama huu ..Ni ujuha na upumbavu wa hali ya juu kufunga daraja,kivuko au barabara kwa shughuli ya kipuuzi iliyopangwa muda mrefu bila kutoa taarifa kwa umma kabla.
Hicho kibatali ndo uzalendo?relax baba relax π
ni mambo ya kitaifa, uvumilivu wako na ustahimilivu wako umesababisha mambo yamekwenda vizuri.
sasa endelea na safari na shughuli zako salama....
Asante kwa kuonyesha uzalendrooo wa hali ya juu kwenye mambo ya kitaifa kama hili la mwenge ππͺ
Hivi bila mwenge miradi haiwezi kuzinduliwa wala kukamilika? Mwenge ndo unajenga?zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu π
lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo π
Umeona eehkiufupi ccm wanatupa kila sababu za kuwatoa madarakani ila tukishapokea 10k t shirt na kofia basi tunaona tumemaliza
Nchi hii vidili vya kipigaji pigaji kama mwenge vinaendekezwa sanaCCM wanatufanya mafala sana
Noma tupuHuu mwenge ni mradi wa watu kupiga hela
Siasa siooo poaaa lo