Mambo ya Google

Mambo ya Google

Mr.Mak

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
2,841
Reaction score
1,105
securedownload.jpg


Haya wadau hapa mie sijapata picha ya hawa jamaa wa google.
 
Mak, loo! .. umenichekesha saana.

Iki- google utapata maelezo kwa nini iliwahi kuonyesha hivyo ... especially mwaka 2009.
 
always big things begins from small ones,dah kweli nimeona ila sidhani kama ina connection na ubaguzi wa rangi
 
kama unaona alichokufahamisha hakifai ya nini kumshushua,wengine tumeona alichutujulisha kina maana,si lazima kuandika tu unaweza ukapita tu.
Hili sio jukwaa la kutuonesha ujuzi wako wa IT
 
Back
Top Bottom