M Mr.Mak JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 2,841 Reaction score 1,105 Mar 8, 2011 #1 Haya wadau hapa mie sijapata picha ya hawa jamaa wa google.
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 Mar 8, 2011 #2 Mak, loo! .. umenichekesha saana. Iki- google utapata maelezo kwa nini iliwahi kuonyesha hivyo ... especially mwaka 2009.
Mak, loo! .. umenichekesha saana. Iki- google utapata maelezo kwa nini iliwahi kuonyesha hivyo ... especially mwaka 2009.
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Mar 8, 2011 #3 Hili sio jukwaa la kutuonesha ujuzi wako wa IT
M Mopalmo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 534 Reaction score 139 Mar 9, 2011 #4 always big things begins from small ones,dah kweli nimeona ila sidhani kama ina connection na ubaguzi wa rangi
always big things begins from small ones,dah kweli nimeona ila sidhani kama ina connection na ubaguzi wa rangi
M Mopalmo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 534 Reaction score 139 Mar 9, 2011 #5 kama unaona alichokufahamisha hakifai ya nini kumshushua,wengine tumeona alichutujulisha kina maana,si lazima kuandika tu unaweza ukapita tu. marytina said: Hili sio jukwaa la kutuonesha ujuzi wako wa IT Click to expand...
kama unaona alichokufahamisha hakifai ya nini kumshushua,wengine tumeona alichutujulisha kina maana,si lazima kuandika tu unaweza ukapita tu. marytina said: Hili sio jukwaa la kutuonesha ujuzi wako wa IT Click to expand...