Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

Watoto wa kuanzia 14yrs wana mambo mengi mno..

Kuna beach moja nilienda..
Wanavuta bangi anaingia kwenye kachanging room anapigwa kimoja anatoka...wanaingia kwa zamu..

Nikajiuliza wazazi wanajua kweli!!
Bichi gani iyo?
 
Watoto wa kuanzia 14yrs wana mambo mengi mno..

Kuna beach moja nilienda..
Wanavuta bangi anaingia kwenye kachanging room anapigwa kimoja anatoka...wanaingia kwa zamu..

Nikajiuliza wazazi wanajua kweli!!
Beach gani??
 
Mkuu kumbe
 
Mikadi ni beach ya watoto wa uswazi..
Mainly wanatoka Mbagala

Wengi hata shule sijui kama wanasoma..
Wanaendaga na mabasi na makelele
Na bodaboda wamepanda watu sita..
Wengi hufa barabarani pia
Ila haibadilishi kwamba ni Teens na wanayoyafanya siyo sawa kwa umri wao

Pamoja na kuw Uswazi and the likes,

Halafu kibaya unaweza kuwa na mtoto geti kali maisha safi akapata rafiki wa kiswahili na mtoto akaona yale ndo maisha.
 
Wanaoingia kwenye drugs na homosexual watabakia salama?
 
Watoto wa kuanzia 14yrs wana mambo mengi mno..

Kuna beach moja nilienda..
Wanavuta bangi anaingia kwenye kachanging room anapigwa kimoja anatoka...wanaingia kwa zamu..

Nikajiuliza wazazi wanajua kweli!!
beach gani mkuu, niwe naenda!?.. napenda ushushushu na ushuhud kuliko kuhadithiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…