Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

Ndio zimekatazwa kabisa, dawa zanye codeine zipo za vidonge tuu...lean hatari sana ni sema bongo hawakuifahamu vizuri mwanzoni

its cheap ila ule mninginio wake ni hatari kama wameacha zileta ni sawa kabisa, starehe ya bei rahis sana ile kuwafikia watu ni rahis sana
 
Parents be very careful with your children indent know how you are going to do it but I finished form 6 bootcamp last week.

Yaani teens parties nowadays cake zinapikwa na maji ya bangi, wengine wana diffuser wanaweka bangi sijui hata wanafanyeje, wengine biscuit na punch so watoto wanaenda part wenyewe wanasema party ndo inachangamka na bangi sio kama pombe, that bangi makes you feel mellow.

A lot is going on in our teens life, me I didn't know kama kuna social media ambazo unapiga picha za utupu then watu to see wanalipia, so a lot of teens wanafanya hayo.

Plus so many sijajua ni hizi shule za kizungu but they take homesexual thing as normal and they support.

If you have a teenage boy or girl usiishie kumuuliza tu una girl friend or boyfriend if she/he says no ASK WHY? one parent her teenage daughter akamuuliza about boyfriend akasema sina na mama wa strictly, so she was taking he r daughter herself to her friends party she was comfortable because she had no boyfriend only to find out she is a lesbian.

Another teenage of 14 years, mwalimu wa kike anamfundisha akikuuliza swali anatetemeka kujibu, mwalimu kwakuwa ni wale fair teacher akashangaa akasema aulize walimu wenzie wakamwambia Sisi kwetu yuko okay, one day anasahihisha homework the girl wrote to her teacher that she has feelings for her that's why she could not be herself, luckily enough mwalimu was God fearing mama mtu kuambiwa kidogo azimie, and thank God she was a day scholars what if she was in boarding and find a person who has the same interest with her, case ingekuwa imeisha.

It's not business and I know this is not a platform but I believe we all working hard for our kids so let's be cautious
Kwanza tukuelewe ni raia wa wapi maana kama Tanzania hatunaga uchafuzi wa lugha kama ivyo
 
aisee, nlikua najiona najua starehe nyingi ila watoto wakishua wamenifungua na hayo maLEAN sijui vaping.. miaka yote hii nmeishis kuijua safari lager tu..


dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Mkuu bora ungeandika kingereza tupu ama kiswahili pekee lakini kuchanganya kichwa cha mbuzi na kisamvu hilo ni pishi la kigoma.
 
Wengi wetu humu tulivyokuwa teens tumefanya vioja, iwe wa kishua au kiswaz,tumegonga wadada kwenye hide and seek,madisco ya shule, bila kusahau kuchungulia wadada bafuni na kutyomba hata vyupi vya house girl.Ni kumuomba mungu.Ni utoto tu wakikuwa wataacha.
Na kupuliza condom na kuzifunga kwenye mageti ya watu. Ila sio kuvuta bangi Mkuu na madawa
 
Tayari umewachanganya “wazazi” wa kitanzania na hiko kingereza chako, hapa wataelewa kina baba “juniya”
 
Ngoja niweke nafasi ya kuja kujibu kiingereza...
Au ngoja nianze!
"You knoo hao tins, wanaexpand then wanavyo eat na kudone wana fuse ile hali ya ku contiradict na mother zao! So ukiwa promote in the square ndio inakuwa diameter, ofcose huwa i givu break to surrenda in mingos.... nitaendelea
Kudaadeki!!!
 
Ngoja niweke nafasi ya kuja kujibu kiingereza...
Au ngoja nianze!
"You knoo hao tins, wanaexpand then wanavyo eat na kudone wana fuse ile hali ya ku contiradict na mother zao! So ukiwa promote in the square ndio inakuwa diameter, ofcose huwa i givu break to surrenda in mingos.... nitaendelea

Yu know i cant richi yu Bro [emoji23]
 
Back
Top Bottom