Wifi xmass sitoboi!!! Sifiki kabisaaaaa!!!πππNimecheka Hadi nimepaliwa ππ
Kaka ako atachanganyikiwa Hebu subir x mass ipite kwanza Wiiππ
Wanasifiwa watulivu kumbe yutiai nyingi π€£π€£π€£Jf watu kwa kujifanya innocent ukiambiwa mambo yao sasa πππππ!!
πππNataka nikualike x mass uje kula kuku Sasa ukifa mapema hivo nitakula na nani hebu subir kwanza basi
Wizo nimecheka notification nyingi nimekuta ili nife na pureeeeshaaa!!!! π€£π€£π€£π€£πππNataka nikualike x mass uje kula kuku Sasa ukifa mapema hivo nitakula na nani hebu subir kwanza basi
Naomba namba za majirani zako niwaambie wafiche na kamba zote πππ
πππTunakupenda WiiWizo nimecheka notification nyingi nimekuta ili nife na pureeeeshaaa!!!! π€£π€£π€£π€£
Jf watu wana upendo wa Agape, kwenye issue km hizi!!
Pm ingekuwa wazi naona ningepewa pole nyingi leo π€£π€£π€£π€£
Nini kimetokea kwani?mbona sielewiWizo nimecheka notification nyingi nimekuta ili nife na pureeeeshaaa!!!! π€£π€£π€£π€£
Jf watu wana upendo wa Agape, kwenye issue km hizi!!
Pm ingekuwa wazi naona ningepewa pole nyingi leo π€£π€£π€£π€£
Shemeji kapata goma jipya?πππ Wii wana jf watanitoa roho mwaka huu!!! Bora nipendane na wakinga wenzangu niwaachie bwana hao!!
Fifi Moto kokote uliko zama piem my wangu unipe udambwi dambwi huo, ntafanyaje sasa na umbea nautaka japo utaniumiza moyo πππππ
π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ή Acha tu!Nini kimetokea kwani?mbona sielewi
Si bora angepata goma jipya!!!Shemeji kapata goma jipya?
Unanichanganya!!!Si bora angepata goma jipya!!!
Nasikia ana mambo mazito nyuma ya pazia uko π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Ila Jf ina hekaheka khaaaaaa!!! ππππ
Kachafua Hali ya hewa ?π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ή Acha tu!
Sijui nilie au nicheke yani hata sielewi
Njoo unipepee kwanza
π€£π€£π€£ Imeisha hiyoUwiiii!! Jamani π€£π€£π€£π€£
Ila Penseli ujue wewe fyatu sana!!!
Kei zimefanyaje??
Emu ngoja nipige pombe za kina Jet li afu ndo tubonge vzr πππ
Dada pandisha uko juu kwenye comments za fifi moto utaelewa me nguvu sina nakufaa muda wowote πππUnanichanganya!!!
Sio waenda pole ni waenda resi kama tiara.Wanasifiwa watulivu kumbe yutiai nyingi π€£π€£π€£
Hao simba waenda pole udugu
Kavuruga kabisaaa ππππKachafua Hali ya hewa ?
ππππππ Cheka tu sasa iweje tenaNacheka tu hata sielewi nin kinaendelea [emoji23][emoji23][emoji23]
OkayDada pandisha uko juu kwenye comments za fifi moto utaelewa me nguvu sina nakufaa muda wowote πππ
πππDada pandisha uko juu kwenye comments za fifi moto utaelewa me nguvu sina nakufaa muda wowote πππ