Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hata hivo naanza kuwa busy na maokoto ya kufunga mwaka, nitakuwa mwingi kipindi cha holiday 😂😂😂😂Watakutoa roho walai! Itabidi upumzike kwa muda wafurahi na nafsi zao!
Wasubiri mipicha ya kuchefua ya vaccay 🤸♀️🤸♀️