Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

2010-2012 Guest user
2013 mwezi wa 9 nikajiunga rasmi aiseee

Mwaka 2017 Nilikuwa addicted sana na JF siwezi sahau aisee, na mimi nilikuwa mzururaji maarufu

All in All... JF imenikutanisha na watu mbalimbali kwa kujifunza, kuburudika, kuelimika na kuhabarika pia

Kuna watu tunajuana nje ya JF na tunaheshimiana nao hadi leo... Amani sana!
 
Siku hizi umepunguza kasi mkuu, 2017 ndo zile zama za kuwahi seat namba moja haha?
 
Udugu ushatamani hivo 😂😂😂😂
Ulale unono!! Hapo km nakuona unavyombembeleza shem akupige shoo ya ki hardcore 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Usitamani mali isio yako wala mwanaume wa mwanamke mwingine IJN amen!!
 
Lamomy naona ushaliwa kichwa na wenye pawa zao humu kam kauwa nini mbaya??
Udugu mwenyewe nimeshangaa afu hakuna nilichofanya nimepewa kesi ya kubambikiwa ujue 😂😂😂
Andunje anareport watu hovyo!!! Sijui soko gumu? Ko hasira anahamishia kwangu!!!
 
Jamiiforums ni
Mipira sijui simba sijui yanga nyuzi 15 siku moja na wote wanazungumzia mpira wa siku moja

Kubet humu ndio mwake
Kusifia wezi wa tawi la kijani

JF
Tulikomboe Taifa ujinga umekuwa mwingi sana
 
Udugu mwenyewe nimeshangaa afu hakuna nilichofanya nimepewa kesi ya kubambikiwa ujue 😂😂😂
Andunje anareport watu hovyo!!! Sijui soko gumu? Ko hasira anahamishia kwangu!!!
Watakutoa roho walai! Itabidi upumzike kwa muda wafurahi na nafsi zao!
 
Back
Top Bottom