Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

A room for you two uduguuu kwakweli mmalizane tu usituletee mambo ya Mahondaw tukapata la kuongoea mjue! 😂😂😂🤣!
Yani siwaletei hata moja nimefundwa mie
Mume anahitaji malezi sio mambo ya kipuuzi!!
Wao watasugua gaga sana mbinu zao hazitofanya kazi.😂😂😂😂

Nitamuacha Kantry siku nikikuta anamla shoga ila hawa yutiai sugu tutachoma powercef 😂😂😂
 
Nimejiunga JF nikiwa Form four 2017

Time flies

JF nimejiunga baada ya kuvutiwa na nyuzi za Mshana Jr.
 
Yani siwaletei hata moja nimefundwa mie
Mume anahitaji malezi sio mambo ya kipuuzi!!
Wao watasugua gaga sana mbinu zao hazitofanya kazi.😂😂😂😂

Nitamuacha Kantry siku nikikuta anamla shoga ila hawa yutiai sugu tutachoma powercef 😂😂😂
Hebu nikaendelee kufukiza vizuree dawa ikuingie haswaaa Haya ndo maneno sasa 🤓!
 
Sitaki kumpa kiki uduguuu mwenyewe ndio nimemuona leo tangu mchana kanikomalia balaa!
Jf kuna muda unabaki unacheka tu!!
Afu ukute mtu mzima kaamua kujitoa ufahamu kusumbua watu 🤣🤣🤣🤣
Humu ilitakiwa ukiwa na id moja ubaki nayo hio hio ujinga ungepungua
 
Back
Top Bottom