Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Stakiii 🤣🤣🤣🤣Weee hizo request zikwendreee huko you and DC forever and always!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stakiii 🤣🤣🤣🤣Weee hizo request zikwendreee huko you and DC forever and always!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dada me nazingua wala siko serious na huo upuuzi wao watajijua wenyewe.
Niko mzima wa afya, sijaona panya wa kunitetemesha
Wewe kweli unamfaa bro, mana ni kimeo 😂😂😂😂😂Kauli mbiu mpya hatususii mapenz ni kukomaa tu😂😂😂😂
Yani siwaletei hata moja nimefundwa mieA room for you two uduguuu kwakweli mmalizane tu usituletee mambo ya Mahondaw tukapata la kuongoea mjue! 😂😂😂🤣!
Huyo ni wako tuu hatutaki jua wengine sis! Kwanza inaonekana mnaendana kweriiii kweriiii!Stakiii 🤣🤣🤣🤣
Wii ukifa kizembe nami kakaako sitamuweza nitaon hamna roho ngumu nyinyi 😂😂😂Wizo mnajitahidi msinipoteze, kumbe mnanipenda?? 🤣🤣🤣🤣
Ila mambo ya mapenzi nipumzike kwa muda kwanza
Dada mume simuachi kwanza sijamfumania ni tetesi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2017?Nimejiunga JF nikiwa Form four 2017
Time flies
JF nimejiunga baada ya kuvutiwa na nyuzi za Mshana Jr.
Hebu nikaendelee kufukiza vizuree dawa ikuingie haswaaa Haya ndo maneno sasa 🤓!Yani siwaletei hata moja nimefundwa mie
Mume anahitaji malezi sio mambo ya kipuuzi!!
Wao watasugua gaga sana mbinu zao hazitofanya kazi.😂😂😂😂
Nitamuacha Kantry siku nikikuta anamla shoga ila hawa yutiai sugu tutachoma powercef 😂😂😂
Kamasutra umenikumbusha KLM lol😂!Dada mume simuachi kwanza sijamfumania ni tetesi 🤣🤣🤣🤣
Hapa naangalia Kama sutra moja hivi nimkoleze mume 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Wakinga hatuachiki kizembe ni majeuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo ni wako tuu hatutaki jua wengine sis! Kwanza inaonekana mnaendana kweriiii kweriiii!
Wifi sifi nilikuwa nawajaza mibichwa tu masnitch hao 🤣🤣🤣🤣Wii ukifa kizembe nami kakaako sitamuweza nitaon hamna roho ngumu nyinyi 😂😂😂
Jf kuna muda unabaki unacheka tu!!Sitaki kumpa kiki uduguuu mwenyewe ndio nimemuona leo tangu mchana kanikomalia balaa!
Cheka utanue mapafu uduguuu jf never boring!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Natamani nikutumie video uone ninavyocheka
We usife kwanza hebu acha kabisa password ya tigopesa tupate hela ya mazishi siye🤣🤣🤣Dada pandisha uko juu kwenye comments za fifi moto utaelewa me nguvu sina nakufaa muda wowote 😂😂😂
Sasa ndo napanga kumpetipeti nalo mume, emu kwanza wamuache ana majukumu mengi.Kamasutra umenikumbusha KLM lol😂!