Tena mshindo ππ πNyege izo
okJF ya sasa ni bora kuliko hiyo ya kale iliyokuwa imehodhiwa na wachache walioonekana ndio nguli. JF ya sasa ni jumuishi na watu wenye critical thinking ya hali ya juu.
Wenzao humu tunaingia tukiwa bar tunalewa wao wanaichukulia serious π€£π€£π€£Kuna watu jf wanaichukulia serious sana
Unaweza ukawa unajifurahisha tu mtu analibeba kwa uzito...sijui ni kukosa kaziii
Shoga siachiki kizembe kwa bwana Kantry waje na lingine!! Email moja haiachi mume πππNimechekaβ¦haki uko na moyo chumaπ
Pambana shogaaaππShoga siachiki kizembe kwa bwana Kantry waje na lingine!! Email moja haiachi mume πππ
π€£π€£π€£ Humu tunaburudika tyuuu!!Pambana shogaaaππ
Siku hizi umepunguza kasi mkuu, 2017 ndo zile zama za kuwahi seat namba moja haha?2010-2012 Guest user
2013 mwezi wa 9 nikajiunga rasmi aiseee
Mwaka 2017 Nilikuwa addicted sana na JF siwezi sahau aisee, na mimi nilikuwa mzururaji maarufu
All in All... JF imenikutanisha na watu mbalimbali kwa kujifunza, kuburudika, kuelimika na kuhabarika pia
Kuna watu tunajuana nje ya JF na tunaheshimiana nao hadi leo... Amani sana!
Umeona ee Nimewaachia vijana kidogo, uzee unakaribiaSiku hizi umepunguza kasi mkuu, 2017 ndo zile zama za kuwahi seat namba moja haha?
Usitamani mali isio yako wala mwanaume wa mwanamke mwingine IJN amen!!Udugu ushatamani hivo ππππ
Ulale unono!! Hapo km nakuona unavyombembeleza shem akupige shoo ya ki hardcore π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Udugu mwenyewe nimeshangaa afu hakuna nilichofanya nimepewa kesi ya kubambikiwa ujue πππLamomy naona ushaliwa kichwa na wenye pawa zao humu kam kauwa nini mbaya??
Watakutoa roho walai! Itabidi upumzike kwa muda wafurahi na nafsi zao!Udugu mwenyewe nimeshangaa afu hakuna nilichofanya nimepewa kesi ya kubambikiwa ujue πππ
Andunje anareport watu hovyo!!! Sijui soko gumu? Ko hasira anahamishia kwangu!!!