Mambo ya JF na zama zake

Watakutoa roho walai! Itabidi upumzike kwa muda wafurahi na nafsi zao!
Hata hivo naanza kuwa busy na maokoto ya kufunga mwaka, nitakuwa mwingi kipindi cha holiday πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wasubiri mipicha ya kuchefua ya vaccay πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Oyaa weeeh! oyaaa weeee! oyaaa weeee!

Kivumbi leo Lamomy unaitwa huku uone ufumanuzi.

Mje wanangu kabla weekend haijaisha 🀣🀣🀣🀣.

Sema dc mzinguaji sana ni kama msimamo hana sijui 🀣🀣🀣
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…