Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

Huwa nawashangaa wakongwe wenzangu huwa tunapenda kusema jf ya sasa sio kama ya zamani

Ni hivi sisi tukomae na mada zetu zilizo na content tunazopenda kwani siku hizi tumekatwa vidole hatuwezi kuandika na kuchangia nyuzi za aina hiyo?

Na hawa madogo wa generation z waendelee na mada zao, la sivyo ni kama tunatafuta attention tuonekane sisi ni wakongwe hapa jf

Au tukubaliane na maneno ya mkongwe aliyesema kama vipi tubadilike twende sawa na upepo wa madogo

Kwenye mitandao hakuna mtu ana mamlaka ya kumpangia mwenzake nini acomment au uzi gani aandike

Simple like that
 
Kwa nyakati za 2008 mpaka 2015 kwenye siasa palikuwa na heka heka nyingi na scandals kubwa kubwa za rushwa ziliibuliwa, muamko wa kisiasa ulikua mkubwa sana vijana wa vyuoni walikua installed kwenye vyama ko palikuwa hot sana pia ktika burudani Muziki wetu ulipitia reformation nyingi sana ko mada. Baada ya kichaaa kupewa rungu aliminya democrasia plus macontainer ya jobless mambo yalibadalika sana underground political network zilikufa mambo mengi yalibadalika
Hatareee dah! Mr stone alijua kuivuruga democracy
 
Shukrani sana mkuu, natami ile quality irudi na bila kuweka njia bora sidhani kama hili litawezekana
Sema bi faiza kaongea point muhimu inategemea wahusika so far lengo lao ni nini it seems kwa sasa wapo kwaajili ya kupata quantity, namba ya wachangiaji na jf kuwafikia watu wengi zaidi kuliko quality ya maudhui, na ndio tunarudi pale pale kwenye point yako kuwa ile dhana ya jf kuwa kama other social medias like fb, ig wakati hili sio lengo mama ambalo jf imeanzishwa.
 
Back
Top Bottom