Mambo ya JF na zama zake

Huwa nawashangaa wakongwe wenzangu huwa tunapenda kusema jf ya sasa sio kama ya zamani

Ni hivi sisi tukomae na mada zetu zilizo na content tunazopenda kwani siku hizi tumekatwa vidole hatuwezi kuandika na kuchangia nyuzi za aina hiyo?

Na hawa madogo wa generation z waendelee na mada zao, la sivyo ni kama tunatafuta attention tuonekane sisi ni wakongwe hapa jf

Au tukubaliane na maneno ya mkongwe aliyesema kama vipi tubadilike twende sawa na upepo wa madogo

Kwenye mitandao hakuna mtu ana mamlaka ya kumpangia mwenzake nini acomment au uzi gani aandike

Simple like that
 
Hatareee dah! Mr stone alijua kuivuruga democracy
 
Shukrani sana mkuu, natami ile quality irudi na bila kuweka njia bora sidhani kama hili litawezekana
Sema bi faiza kaongea point muhimu inategemea wahusika so far lengo lao ni nini it seems kwa sasa wapo kwaajili ya kupata quantity, namba ya wachangiaji na jf kuwafikia watu wengi zaidi kuliko quality ya maudhui, na ndio tunarudi pale pale kwenye point yako kuwa ile dhana ya jf kuwa kama other social medias like fb, ig wakati hili sio lengo mama ambalo jf imeanzishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…