Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi wameonyesha kutopenda kwa kuwa zari hajaomboleza vya kutosha msiba wa mama yake.

TOA MAONI YAKO
 
Mimi mnazi wa hawa watu ila nimeanza kuona wana tatizo siyo bure japo ni maisha yao ila wameayafanya yajadiliwe kwa upupu wanaoufanya.
Duh kweli diamond siyo mchezo kamfanya mama mtu mzima na heshima zake zote amekuwa ka ki lyn cha huko kwetu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kila mtu na maisha yake.ila boss Lady sijui nimuiteje. Aisee mama kitu kingine.maybe culture ni tofauti.maana nchi nyengine misiba kwao ni sherehe.
 
Kila mtu na maisha yake.ila boss Lady sijui nimuiteje. Aisee mama kitu kingine.maybe culture ni tofauti.maana nchi nyengine misiba kwao ni sherehe.
Sherehe kwa bibi...sio mama..yaan wajukuu ndio wanasherekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…