BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kabisa aisee mila nyingine ni za kuzishangaa kwa mbali tu.
not to dhat extent!!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
not to dhat extent!!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Inabdi wewe mzazi uwe mwema n umlee mwanao katika maadili mema..inna lillahi....!!hakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani ili pale utakapokufa akuombee dua njema...kaburini
Haaaaaaaaa kwamaana hyo Alikua analia kinafki tu ilimlad msiba uishe apande pipa aende kula bata Dubai??Duh kuna watu wana raho ngumu wanafurahi kama hawajafiwa vile kweli binadamu tuko tofauti.
-Ndumilakuwili-
kweli na uko sahihii...!!!kabisa yatupasa tuwafundishe watoto wetu kumjua MunguInabdi wewe mzazi uwe mwema n umlee mwanao katika maadili mema..
Je mama Zari alimpa mwanae hayo maadili?!
Nawaona michepuko ya kibongo mimacho imawatoka!Kumbe wewe ni mchochezi eeh!
Ahahaha nyaku nyaku sio? Wanatoa majicho[emoji28][emoji102]Toto la kiganda linajua kuwaumiza michepuko ya kibongo
Cc. Hamisa Mobeto
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haa hata siaminiMmh wamelewa sifa vibaya. Wameboa kweli khaa aibu sana
Mkuu nyaku nyaku ni full matusi na mwendo wa mipovu kama ya safari!
Wamembeba marehemu hapa halafu wanasakata rumba kiasi hiki! Khaa!
Oops[emoji40]Mkuu nyaku nyaku ni full matusi na mwendo wa mipovu kama ya safari!
Hamisa, wema, jokate, wolper wereva, penny, na Irene wamo humu am sure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] unajaribu kusema nini mkuu?Mkuu umenikumbusha ile X ya zari
Toka nizaliwe sijawahi ona papuchi ka ile!
Asee Zari kajaliwa si kwa Giza totoro lile!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..hatari sanaMmh nashabikia mazuri,haya ya kuamshiana genye akhuuu