Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Africa kila siku misiba kusubiri mpaka maombolezo yaishe huwezi kula bata zako
 
Maoni ya nini kwamfano? ? Kwamba maoni yatawarudisha toka Dubai

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Bibi tukinao na kiben10 chake hawajitambui...

Wanapenda kiki kuliko ugali

Wasiishie vipocha vyao vya kipuuzi warushe na video kabisa wakiwa wanagegedana...

Si wanapenda kuwa midomoni mwa watu
 
Ujinga tu,hii mitandao wajinga inawapelekesha kweli kweli,sasa hapo unaenjoy vipi huku upo busy na simu kuonyesha watu kuwa mpo bien.Ujinga tu.
 
Inabdi wewe mzazi uwe mwema n umlee mwanao katika maadili mema..
Je mama Zari alimpa mwanae hayo maadili?!
kweli na uko sahihii...!!!kabisa yatupasa tuwafundishe watoto wetu kumjua Mungu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Uckute wanamwona alipo nyie mnahic ametwaliwa...dunia inavijimambo na hyo sign aloanza kuishow wkt anacheza Mmmh ngj nicmwage mchele... Utajiri unagharama zke mtu acpokuw makin.
 
Back
Top Bottom