Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154

Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi wameonyesha kutopenda kwa kuwa zari hajaomboleza vya kutosha msiba wa mama yake.

TOA MAONI YAKO
 
huyu mama anaongozwa n maisha ya kiki mpaka anatia huruma

mtu unakua mtumwa wa social networks[emoji17]
akiona ana sahaulika analizua jambo..
masikini watoto wake hawapati maadili mema..

siku nikishuhudia papuchi ya mkmwana wangu ilivojichora ndio mwanzo na mwisho kuwaona, maana ntawachinja

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kila mtu na maisha yake.ila boss Lady sijui nimuiteje. Aisee mama kitu kingine.maybe culture ni tofauti.maana nchi nyengine misiba kwao ni sherehe.
 
Kila mtu na maisha yake.ila boss Lady sijui nimuiteje. Aisee mama kitu kingine.maybe culture ni tofauti.maana nchi nyengine misiba kwao ni sherehe.
Sherehe kwa bibi...sio mama..yaan wajukuu ndio wanasherekea
 
Back
Top Bottom