Naona upo katikati na njozi, usingizi mwema BossNaona safari ya muziki ya diamond soon itakuwa imefikia mwisho....
Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
Hahahaha! Wamekuwa kuku?Wajirekodi basi wanatiana tuone hizi mi nishachokaa
Kwa watu waliotoka msibani, tena wa mama mzazi- ni sawasawa na kudinyana tuKwani wanatiana?
The Law of Seed Time and Harvest....!!!Hata yeye ana watoto wataomboleza vivyo hivyo .. nadhani ni mtu mzima anajua afanyalo
Sawa mkuuKwa watu waliotoka msibani, tena wa mama mzazi- ni sawasawa na kudinyana tu
Pana hekma kubwa sana katika bandiko hili sijui usasa huu utatufikisha wapi!inna lillahi....!!hakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani ili pale utakapokufa akuombee dua njema...kaburini
Ndio changamoto za maendeleo hizi pana wengine tunakumbuka enzi za posta na simu wangeyafanyia wapi? umagharibi bila kuchuja akili wajikuta umefanya mambo ya ajabu.Duh kuna watu wana raho ngumu wanafurahi kama hawajafiwa vile kweli binadamu tuko tofauti.
-Ndumilakuwili-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...bora umeliona hilo na Zari anawajulia!Wabongo kwa kukasilika yasio wahusu.. JF kila mtu anajifanya mwema
we wit..we ungeweza?!![emoji23] [emoji23] [emoji23] ...bora umeliona hilo na Zari anawajulia!
Ni mwendo wa kuwatia mindiimu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya mahesabu uone tofauti ya umri wa Marehemu na mtoto wake zari utaona chimbuko la haya! Zari anajaribu kuua soo la wakati ule. Wakati mwingine si ajabu wapo katika biashara.Inabdi wewe mzazi uwe mwema n umlee mwanao katika maadili mema..
Je mama Zari alimpa mwanae hayo maadili?!
Naona umekuwa mkali sana mwl. Tunatofautiana na mabadiliko ya tabia nchi tusiyapuuze. Zamani katika misiba tunavaa kaniki na kunyoa upara......we wit..we ungeweza?!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji52]Naona umekuwa mkali sana mwl. Tunatofautiana na mabadiliko ya tabia nchi tusiyapuuze. Zamani katika misiba tunavaa kaniki na kunyoa upara......
yaani unajua vitu vingine tunaweka unafki pembeni na uteam!!Naona umekuwa mkali sana mwl. Tunatofautiana na mabadiliko ya tabia nchi tusiyapuuze. Zamani katika misiba tunavaa kaniki na kunyoa upara......