Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Naona safari ya muziki ya diamond soon itakuwa imefikia mwisho....

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
oi oi oi da huyu chalii amekulana mpaka kaisha hahahhahahahahaha K hatar sana
 
Duh kuna watu wana raho ngumu wanafurahi kama hawajafiwa vile kweli binadamu tuko tofauti.

-Ndumilakuwili-
Ndio changamoto za maendeleo hizi pana wengine tunakumbuka enzi za posta na simu wangeyafanyia wapi? umagharibi bila kuchuja akili wajikuta umefanya mambo ya ajabu.
 
Wabongo kwa kukasilika yasio wahusu.. JF kila mtu anajifanya mwema
 
Domo hutrend kwa kazi yako ya mziki bali una trend kwa mambo ya kipuuzi. Madogo zako unaowalea wanakuja kwa kasi ww umezembea vijimbo vyako vitatu vyote chaliii lazima uchanganyikie. Aktini porn kabisa na huyo malaya wako ndo tutashika mapunga nyie mnakera sana. Bibi jitu zima na watoto linaonyesha maungo ya ndani mitandaoni kama siyo upunguani n nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabdi wewe mzazi uwe mwema n umlee mwanao katika maadili mema..
Je mama Zari alimpa mwanae hayo maadili?!
Fanya mahesabu uone tofauti ya umri wa Marehemu na mtoto wake zari utaona chimbuko la haya! Zari anajaribu kuua soo la wakati ule. Wakati mwingine si ajabu wapo katika biashara.
 
Naona umekuwa mkali sana mwl. Tunatofautiana na mabadiliko ya tabia nchi tusiyapuuze. Zamani katika misiba tunavaa kaniki na kunyoa upara......
yaani unajua vitu vingine tunaweka unafki pembeni na uteam!!
tunapaswa kua na utashi binadamu ameumbwa na hayaaa ila kama unakosa haya hata kidogo basi wewe unakua kiumbe dhalili mnoo na vitu vingine havihitaji kusoma sana!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom