we rubi weewe[emoji12][emoji52]
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji4] abeee Gwe rubi weewe[emoji12]
sent from motorola bapa and nokia jeneza
hyo rubikimiiii ndo nini?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji4] abeee G
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji85]hyo rubikimiiii ndo nini?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwani mtu akifariki maombi yako yaweza badili chochote?inna lillahi....!!hakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani ili pale utakapokufa akuombee dua njema...kaburini
kwa sisi tunaoamini kuna Mungu na maisha baada ya kufaKwani mtu akifariki maombi yako yaweza badili chochote?
waenda wapi???[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji85]
Ngoja nikirudi nitakwambia
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji15] khaaaakwa sisi tunaoamini kuna Mungu na maisha baada ya kufa
tunaambiwa hivi mtoto wako akikuombea dua basi Mungu huipokea pasi na shaka
Sitofautiani na wewe sana katika kusikitika kwa kitendo hichi ila kumbuka hata katika misiba (nakumbuka kuna mtu alileta andiko kuhusu mishiba ya moshi) watu wanagegedana hata katika magari wakati jeneza lipo. Sie kwetu Moshi hatulali katika misiba, familia tu ndiyo inalala na kilaji kama kawa ingawa huko kwenu mwl nadhani ukoo unaweza kutengwa. Hivi unamuona Zari ni mtu wa kawida? Afadhali ungekuwa unamzungumzia rubii hapo nami ningekuunga mkono kumsakamayaani unajua vitu vingine tunaweka unafki pembeni na uteam!!
tunapaswa kua na utashi binadamu ameumbwa na hayaaa ila kama unakosa haya hata kidogo basi wewe unakua kiumbe dhalili mnoo na vitu vingine havihitaji kusoma sana!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Mh!! Msalimie, naenda kuchunga ng'ombe nisifukuzwe na tajiri[emoji40][emoji17] [emoji17]
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji4] [emoji4] [emoji8]Mh!! Msalimie, naenda kuchunga ng'ombe nisifukuzwe na tajiri
Yaan kwanza huyo Domo katoka kunichefua now..we wit..we ungeweza?!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaan kwanza huyo Domo katoka kunichefua now..
Si kaviiita vifans vyake eti " vichupi kunuka"
Hebu asafishe hilo domo lake na maji ya betri manake si kwa matusi haya!
Sent using Jamii Forums mobile app
tuandae mazishi tu ,sipati picha maselfie ya huyo mama kwenye kuaga mwili pale leadersDuh kuna watu wana raho ngumu wanafurahi kama hawajafiwa vile kweli binadamu tuko tofauti.
-Ndumilakuwili-