Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

hivi mlitaka wawe wanalia kila siku , waswahili bwana , yaani ukiomboleza kwa kujipoza wanaona unakosea sana , wanataka uwe unapost tu unalia kila siku.
 
Kwani mtu akifariki maombi yako yaweza badili chochote?
kwa sisi tunaoamini kuna Mungu na maisha baada ya kufa
tunaambiwa hivi mtoto wako akikuombea dua basi Mungu huipokea pasi na shaka
 
yaani unajua vitu vingine tunaweka unafki pembeni na uteam!!
tunapaswa kua na utashi binadamu ameumbwa na hayaaa ila kama unakosa haya hata kidogo basi wewe unakua kiumbe dhalili mnoo na vitu vingine havihitaji kusoma sana!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Sitofautiani na wewe sana katika kusikitika kwa kitendo hichi ila kumbuka hata katika misiba (nakumbuka kuna mtu alileta andiko kuhusu mishiba ya moshi) watu wanagegedana hata katika magari wakati jeneza lipo. Sie kwetu Moshi hatulali katika misiba, familia tu ndiyo inalala na kilaji kama kawa ingawa huko kwenu mwl nadhani ukoo unaweza kutengwa. Hivi unamuona Zari ni mtu wa kawida? Afadhali ungekuwa unamzungumzia rubii hapo nami ningekuunga mkono kumsakama
 
ACHENI WIVU NA CHUKI BINAFSI. KWAN MAMA YAKE AU MAMA YENU? KAMA NI DHAMBI MUNGU NDYE ATAMHUKUMU.
 
Huyu mtoto wa kiswahili muhuni huyu janja janja atakuwa anatumbua hela zinazotoka mahala pengine (ivan) zamani hakuwaga na mambwembwe hayo now they have an extra income they can afford a million dollar bill.
 
Back
Top Bottom