Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa macho. Hewa tunayovuta to sustain our lives hatuioni lakini ni kani halisi ambayo ukiikosa kwa dakika chache utakufa. ZOHO NI NINI? Naomba jibu makini without a theological maneuver.