Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote.
4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.)
5. Usimuoe mwanamke ambaye umempenda kupitiriza, ila muoe mwanamke ambaye unampenda kiasi, Ili hata siku aki ghairi mapenzi/ Ndoa. Akili yako itakua sawa na utaweza kuendelea na Maisha.
6. Mwanamke atakiwi Kujua njia zako zote za kupatia kipato au kipatochako Kiujumla. Muonyeshe baadhi ya kipato chako ila mengine yawe siri yako mpaka unaingia kaburini.
7.Usijigambe au Kujiona una mke Bora na wa maana sana, na muaminifu kuliko wanawake wengine mbele za watu.
8. Mkeo hapaswi Kujua ratiba yako kwa 100%. Ishi maisha ya kutoeleweka, na asijue Nini unafanya na kwa mda gani.
9.Unapoenda ukweni yasizidi masaa 24. Unatakiwa kuondoka, hapo ukweni.( Tumia masaa machache sana ukweni)
Note: "Bora kuishi kichakani lakini sio kuishi ktk Nyumba ya mwanamke"
vijana waleo mjifunze.
Vijana wanazalilika kwa sababu ya kutojitambua, jipambanie tafuta Mali yao, na utafute mwanamke ambaye uta mmudu, kulingana na uwezo wako, sio kutaka mwanamke ambaye wewe utaenda kuishi kwa Mwanamke, Mwanaume unakua hauna kauli.
Wadogo zangu naomba mubadilike....Msiwategemee wanawawake mtadharilika kila siku, kwa kutupiwa viboxer vyenu nje.