Mambo ya kuepuka kijana wa kiume

11. Usifanye maendeleo yeyote kwenye familia ya mke wako unless uko tayari kusamehe utakachokiwekeza huko.
 
mbuzi mgane wewe,,nina hamu ya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usiambiwe ukweli mpenda mashangazi wewe
Mchanga wa beach mnataka kunitisha kitumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Takufata huko huko nikuzingue weweeeeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amina.
 
Pia usisahau......

MKEO SIO NDUGU YAKO......USIHADAIKE NA MAHABA.....KUNA SIKU ATAKULIZA KILIO KIKUU NA HAKUNA WA KUKUBEMBELEZA.....

HAYA MANENO HUWA YANAONEKANA YA KIPUUZI KWA SASA KWA KUWA MPO KWENYE PENZI ZITO.........
 
ila we katoto basi tu,, kuna siku ntakutumia pesa ya wese la mboso coz ndo unakoelekea na hao mashangazi
Situmiagi mimi
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah
 
Nakazia hapo kwenye 6,7,8,na 9...
 
Wewe kwanza una mke?

Unadhani kuna mtu anapenda amtegemee mke? Kuna wakati ktk maisha giza linatanda tena ghafla. Nilitoka hero to zero.

Msaada ilikua kazi ya mke.Na sema tulikuwa tunaelewana sana,na shida zangu alizifanya kuwa zangu.

Nilikua mwajiriwa na mshahara wa milioni 1.8 take home. Mauzauza ndani wiki 5 kazi ikaisha tena serikalini.

Nimejiajiri lkn msaada mkubwa ulikuwa ni mke japo hakunipa mtaji lkn aliibeba familia na mm pia. Γ€lLIIBEBA SHIDA YANGU IKAWA YAKE. SHE IS MY SUPER HERO.

NB: HAKUNA SHULE INAFUNDISHA MAISHA DUNIANI. USIYAWEKEE SHERIA

Humtegemei mke coz unajimudu yakibuma utafanya nini.

Si kwamba nimekupinga la hasha nimejaribu tu kushea kwamba kuna moment na situation huwa maisha yanabadilika tena bila kujui hali imetokea wapi.

Mwanamke ni kiumbe mzuri sana inategemea unaishi nae vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…