Mambo ya kuepuka wakati unafanya Mapenzi

Haya tutajie na mambo ya kuepuka wakati haufanyi mapenzi
 
Mimi nafikiri jambo kuu la kuepuka wakati unafanya mapenzi ni magonjwa ya zinaa hasa UKIMWI
 
Kumbe Kuna maandalizi.....Ile ya kimasihara inakuwaje sasa
 
Kwa wadada usianze kuomba hela ya pango ama ya kusukq katikati ya tendo.
 
Hivi haya mambo Yana formula kweli? Maana ninachojua unaweza jipanga hivi ukajikuta uko vile....Kwa mfano waweza panga Leo naenda kujilaza tu lakini ukafika ukakuta jamaa anaweza kuikoleza Unajikuta mauno hayoo 😔
Eee Mungu sikia kilio changu kwa huyu To yeye❤❤🙏🙏
 
Wewe twende ukamalizie ile story, ndio tuanze kujadili mengine [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…