Mambo ya kuepuka wakati unafanya Mapenzi


Uwe na fedha, mengine hayo ni ziada
 
Hivi haya mambo Yana formula kweli? Maana ninachojua unaweza jipanga hivi ukajikuta uko vile....Kwa mfano waweza panga Leo naenda kujilaza tu lakini ukafika ukakuta jamaa anaweza kuikoleza Unajikuta mauno hayoo [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tunapigaga show tu hata kama tunanjaa naww umeshiba ila utatoka nduki na chupi mkononi umeishikilia
 
Masharti meengii ukiangalia umelipia lodge,umenunua wine na chakula bado unatakiwa umpe nauli na asante,halafu uje uniambie nisiharakishe kupiga bao.
Hii haiingii akilini nikishafanya yote hayo lengo ni kula mzigo na kupiga bao,kwanza mwanamke kufika kileleni ni maamuzi yake ,na mwanamke akikupenda anafika kileleni fasta hata kabla wewe hujafika.
 
Yann mliosomea HKL mna ngonjera Sana mshaambiwa hayana fomula hamsikii,haya na sisi wa takkle 2 chali hata iweje tupo kipengele kipi hapa?
 
Hivi haya mambo Yana formula kweli? Maana ninachojua unaweza jipanga hivi ukajikuta uko vile....Kwa mfano waweza panga Leo naenda kujilaza tu lakini ukafika ukakuta jamaa anaweza kuikoleza Unajikuta mauno hayoo [emoji17]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mauno hayoooo
 
Hivi haya mambo Yana formula kweli? Maana ninachojua unaweza jipanga hivi ukajikuta uko vile....Kwa mfano waweza panga Leo naenda kujilaza tu lakini ukafika ukakuta jamaa anaweza kuikoleza Unajikuta mauno hayoo πŸ˜”
Post zako huwa zinapandisha genye sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…