Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Nenda na silaha location ili ikitokea la kutokea ujihami

Enzi zangu za ubashite nilikula mchumba wa jsmsa fulani nafsi ilikuwa inakataa kabisa ila shatani alishatawala na bimdada alikuwa anataka ssna apelekewe moto.

Nikasema ngoja nile tu ila lazima nijihami

Nilichukuaa panga langu jipya,kisu(bisu),gongo,bisibisi na nyundo nikaweka geto chini ya uvungu

Nikawa sina wasi hapa wakigongea tu atayejifanys kimbelembele kuzams ndichi haraka natoka na utosi wake[emoji2]
 
Mimi siku hizi nikienda gesti kuchepuka kitu cha kwanza naangalia kabisa mazingira. Naanza kukagua madirisha kama kuna upenyo wa kupita, nakagua dari, nk. Kama ni ghorofani naanza kuangalia nje huko kuna nini endapo ntaruka, naangalia mabomba ya kushukia chini yako wapi, nk. Hiyo yote naifanya ndani ya dakika 2 tu nakua nimeshasoma ramani nzima!
 
Hii si adhabu kabisa!!!
 
Mimi sina imani na Guest wala Geto kwangu nikiwa nakula Mke wa mtu, Yani the best option kwangu nikumtia ndani ya Gari afu naenda nje ya mji sehemu tulivu halafu ndio namchakata kwenye Gari, Niliwahi kufatiliwa bila machale kundesa Hakika ningepoteza Marinda siku hiyo tangu hapo Siwezi kugegeda mke wa mtu Ndani ya chumba au nyumba yoyote ndani ya wilaya anayoishi nikitaka bata sana Namsafirisha nje ya mkoa, The rest now Natumia tu gari kumaliza shughuli, Wake za watu watamu jamani
Mweh!!!!
 
Mimi siku hizi nikienda gesti kuchepuka kitu cha kwanza naangalia kabisa mazingira. Naanza kukagua madirisha kama kuna upenyo wa kupita, nakagua dari, nk. Kama ni ghorofani naanza kuangalia nje huko kuna nini endapo ntaruka, naangalia mabomba ya kushukia chini yako wapi, nk. Hiyo yote naifanya ndani ya dakika 2 tu nakua nimeshasoma ramani nzima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
Yaani utoke uchi[emoji23][emoji23]
We jamaaa unawafundisha nn sijui.
 
Dah nilishuhudia jaman alifumaniwa alitoka nduki akiwa mtupuu aisee mnh hizo ndude zilikua zina........ kama za beberu kumbe wanaume mkikimbia mkiwa watupu mnakua vile
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mmechekaaaa!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ila huu uzi bhana😂😂😂😂😂

Yani mambo ya kufanya wakati ni umewekwa kati na mwenye mali😂😂😂

Tembea tu na kilainishi mkuu sio script hiyo kwamba unajua kinachofata
 
Nduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.
sintosahau yule mke wa mtu alivyonilengesha ili tufumaniwe lodge ..kumbe ilikuwa deal ili tuyamalize kwa kutoa hela ili wagawane yeye na mumewe... wakati ndiye alikuwa mchepuko wangu wa siku nyingi akanigeuka....kuna wanawake washenzi sana
 
These techniques aren't reliable at all.Ukifumaniwa jua imeshakula kwako na Moja kati ya haya majengo( MOCHWARI,JELA) lazima likuhusu.
 
Back
Top Bottom