Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

sintosahau yule mke wa mtu alivyonilengesha ili tufumaniwe lodge ..kumbe ilikuwa deal ili tuyamalize kwa kutoa hela ili wagawane yeye na mumewe... wakati ndiye alikuwa mchepuko wangu wa siku nyingi akanigeuka....kuna wanawake washenzi sana
Ilikuwaje
 
Kilichoniokoa nilitoka kufuata msosi na bia baa ya jirani nikapishana na jamaa na makamera kibao reception wanadai ndo huyu ndo huyu mi nikajidai naongea na simu huyooo nikafika mbele nikamtext bibie kuwa asifungue mlango hata iweje, baadae (palivyotulia) nikamtumia uber.
** guest usijiandikishe kwa jina halisi ikiwa umeiba mke wa mtu
ilikuwa ndo mara ya kwanza au ilikuwa una piga
 
Polisi walisema mwenye jukumu la kufumania ni mwenye mwenza tu Yaani mke au mume na sio Wambeya au wapambe wowote.

Hili jambo linapaswa kufahamika na jamii yote.
 
Wafanyakazi wa lodge/hotel/quest houses wajue hawako pale ku-facilitate fumanizi.

Wamiliki wawape mafunzo kila mara wafanyakazi wao.
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
Wewe umeshawahi kufumaniwa?
 
Uki fumaniwa hakikisha ufirimbwi kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom