Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Wakina Munyazi MunguWavaa kobazi ndo kina nani hao? Watawa ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina Munyazi MunguWavaa kobazi ndo kina nani hao? Watawa ama?
Ilikuwajesintosahau yule mke wa mtu alivyonilengesha ili tufumaniwe lodge ..kumbe ilikuwa deal ili tuyamalize kwa kutoa hela ili wagawane yeye na mumewe... wakati ndiye alikuwa mchepuko wangu wa siku nyingi akanigeuka....kuna wanawake washenzi sana
ilikuwa ndo mara ya kwanza au ilikuwa una pigaKilichoniokoa nilitoka kufuata msosi na bia baa ya jirani nikapishana na jamaa na makamera kibao reception wanadai ndo huyu ndo huyu mi nikajidai naongea na simu huyooo nikafika mbele nikamtext bibie kuwa asifungue mlango hata iweje, baadae (palivyotulia) nikamtumia uber.
** guest usijiandikishe kwa jina halisi ikiwa umeiba mke wa mtu
Hapana. Nimepiga mara nyingi tu.ilikuwa ndo mara ya kwanza au ilikuwa una piga
Wewe umeshawahi kufumaniwa?1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
Kondom za msaada3000 kata kodi ya guest, ondoa condom ya jero, kata pesa ya maji kuoga, kata VAT......maku inaweza kuwa inauzwa kati ya 800-1200.