Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mimi siku hizi nikienda gesti kuchepuka kitu cha kwanza naangalia kabisa mazingira. Naanza kukagua madirisha kama kuna upenyo wa kupita, nakagua dari, nk. Kama ni ghorofani naanza kuangalia nje huko kuna nini endapo ntaruka, naangalia mabomba ya kushukia chini yako wapi, nk. Hiyo yote naifanya ndani ya dakika 2 tu nakua nimeshasoma ramani nzima!Nenda na silaha location ili ikitokea la kutokea ujihami
Enzi zangu za ubashite nilikula mchumba wa jsmsa fulani nafsi ilikuwa inakataa kabisa ila shatani alishatawala na bimdada alikuwa anataka ssna apelekewe moto.
Nikasema ngoja nile tu ila lazima nijihami
Nilichukuaa panga langu jipya,kisu(bisu),gongo,bisibisi na nyundo nikaweka geto chini ya uvungu
Nikawa sina wasi hapa wakigongea tu atayejifanys kimbelembele kuzams ndichi haraka natoka na utosi wake[emoji2]
Kivipi yan sijaelewaKufumaniwa kwa sasa utake mwenyewe
Hii si adhabu kabisa!!!Mimi siku hizi nikienda gesti kuchepuka kitu cha kwanza naangalia kabisa mazingira. Naanza kukagua madirisha kama kuna upenyo wa kupita, nakagua dari, nk. Kama ni ghorofani naanza kuangalia nje huko kuna nini endapo ntaruka, naangalia mabomba ya kushukia chini yako wapi, nk. Hiyo yote naifanya ndani ya dakika 2 tu nakua nimeshasoma ramani nzima!
Mweh!!!!Mimi sina imani na Guest wala Geto kwangu nikiwa nakula Mke wa mtu, Yani the best option kwangu nikumtia ndani ya Gari afu naenda nje ya mji sehemu tulivu halafu ndio namchakata kwenye Gari, Niliwahi kufatiliwa bila machale kundesa Hakika ningepoteza Marinda siku hiyo tangu hapo Siwezi kugegeda mke wa mtu Ndani ya chumba au nyumba yoyote ndani ya wilaya anayoishi nikitaka bata sana Namsafirisha nje ya mkoa, The rest now Natumia tu gari kumaliza shughuli, Wake za watu watamu jamani
Kuna App unaweka namba ya mume wa huyo mke unayechepuka nae akiwa ndani ya 50 metres inaku-alertKivipi yan sijaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siku hizi nikienda gesti kuchepuka kitu cha kwanza naangalia kabisa mazingira. Naanza kukagua madirisha kama kuna upenyo wa kupita, nakagua dari, nk. Kama ni ghorofani naanza kuangalia nje huko kuna nini endapo ntaruka, naangalia mabomba ya kushukia chini yako wapi, nk. Hiyo yote naifanya ndani ya dakika 2 tu nakua nimeshasoma ramani nzima!
Aiseeee wameboreshewa hudumaKuna App unaweka namba ya mume wa huyo mke unayechepuka nae akiwa ndani ya 50 metres inaku-alert
Yaani utoke uchi[emoji23][emoji23]1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mmechekaaaa!!!Dah nilishuhudia jaman alifumaniwa alitoka nduki akiwa mtupuu aisee mnh hizo ndude zilikua zina........ kama za beberu kumbe wanaume mkikimbia mkiwa watupu mnakua vile
sintosahau yule mke wa mtu alivyonilengesha ili tufumaniwe lodge ..kumbe ilikuwa deal ili tuyamalize kwa kutoa hela ili wagawane yeye na mumewe... wakati ndiye alikuwa mchepuko wangu wa siku nyingi akanigeuka....kuna wanawake washenzi sanaNduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.