Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
uzembe
punguza uzembe kwenye ndoa yako.unaweza ukafanya uzembe kidogo ukajikuta umepoteza ndoa yako ama kuiingiza kwenye matatizo makubwa
majibu mabaya
wengi wanajuta baada ya kuongea ;;mdomo tunaona ata kwenye biblia unaumba...mtu atakufa kwa mdomo wake..mdomo unaleta uzima ama mauti..unaweza kutoa jibu la siku moja likaguurimu ndoa yako maisha yako yote....wapo wanaoogulia si kwa kupigwa bali kwa kiile walichoongea..kuna mjomba wangu mmoja alikuwa mlevi sana akaanza kupunguza akaanza kurudi saa tano usiku...mkewe akawa akimwona anafoka sana na kutukaana siku moja akamwambia na kuanzia leo nakwambia uiishie uko uko bara kwa ma***a zako baba si haba alikuwa anajali familia akawa akifika anawka hela kwenye bahasha anarusha ndani ya ukuta anarudi zake...mpaka leo hii yule aunt anasali kama chizi lakini majuzi akaambiwa unatakiwa kuwa makini na unachoongea....akaambiwa wakati mwingine unatakiwa ikugarimu ili uondokane na matatizo yako..akaambiwa ulichoongea inabidi ukaombe msamaha kwa mumeo........,ndipo yataisha matatizo yake..so unaweza shinda kanisani kumbe unaitaji kusafishwa kwanza......,angalia usipoteze ubora wako kwa ajili ya mdomo,
ndugu mmoja alimwambia mumewe na kama umeshindwa kuninunulia gauni silali na wewe kila mtu alale kwakwe ...hee hee loh shetan akalichukua kama lilivyo na leo hii mama alikuwa wa kwanza kukimbia nyumba mzee akaanza kulala chumba kingine baada ya muda house geli akawa makao yake..
Mith 6:2
kutokuomba msaamaha
kol 3:13
msamaha ni jambo muhimu sana ktk nyumba,kama mwanamke unaitaji kukaa kwenye ndoa yako huna budi kuwa makini kuomba msamaha hata kama umekosea..hali unakuja kumwambia mumeo mkiwa kwenye hai ya furaha unajua wewe ndie ulikosea pale hny..mwombe mungu afungue kinywa chako kukuwezesha kuwahi kuomba msamha..hali hii iwe kwenu wanaume pia...
matumizi mabaya
wengi wanajisahau sana linapofika swala la matumizi;watu wanawake wengi wameshindwa kuwa na msimamo kwenyye matumizi na hasa pale wanapoona hela ziko mezani....jaribuni kuwa na ratiba za matumizi...si tu hela imeonekana unanua ambacho hata kisichofikiriwa...wanaume wengine awwana uvumilivu jamani..kuwenim makini na hili.......
Msipoteze ndoa zenu ni ghaarama kupata nyingine
kufanya majukumu yako kwa muda muafaka:
labda niseme wazi awa nyumba ndogo akuna uchawi wanaoufanya..wanachofanya ni kujua nini cha kumfanyia mumeo aweze kumfikiria kila siku maishan mwake na kukusahau wewe...kuna mambo mengi muhmu kama mwanamke kumbuka kumfanyia mumeo kwa wakti...wapo wanaume wengine haapa jf wanakula saa tano nanusu usiku.... Wapo wanaokula chakula cha mchana kuminamoja eeh najua wewe
jaribu kujua muda gani uwe ushafua nguo za mumeo.kupika chakula..kosa kubwa mnalofanya lingine hili siiwaachi ni kumwachia housegirl anakutandikia chumban jamani jamani hata kama unaamka saa kumi usiku...ole nasema ole..majuto mjukuu wapo walijaribu wakshindwa kuzirudisha ndoa zzao zinapotakiwa mpaka leo ..si mpaka pdidy apige kelele chakla chakla...namshukuru mungu kwa hili kwa kweli mama didy anakumbuka wajibu wake....
tulia nyumbani
wachaga wanasema vishoia..kuna wanawake wakiolewa yaani akirudikutoka ofisini mapema anawahi nyumbani anaishia kwa mashoga zake....jaman jamani tuwe makini na mashooga wanasahaulisha ndoa za watu hawa..tuwe makini kwa hili..kama umewahi nyumban kaa pumzika jiweke tayari kumpokea mumeo akirudi....pls jamani kumbukeni majukumu yenu...wakati mwingine ukimkuta mume anakupigia simu ameshafika anakuona nyumba za jiran unajibu niko sebulen mume wangu...oooh kuwen makini muwe wakweli ukweli unajenga nyumba yako
i nykat 12:32 mith 31:15
zab 51:10,mwanzo 25:27 zab 4:4
usafi
mwanamke ni pambo la nyumba lazima uwe msafi kiroho na kimwili,hakikisha unakua msafi hata kuziangalia nguo za mzee zikoje zimenyoshwa amevaaje,kuna masugar mumy wanamdaka mumeo just kumtengeneza kola tu na kifungo kumbe tatizo ni wewe kumwangalia kabla ya kuondoka...wanawake wengi wanajipamba wenyewe lakini waume zao ni balaa hawatamaniki kabisa
mith 31:23,mith12:4
kujiheshimu kwa mumeo
yapo matatizo mengi wamamama tunayaleta wenyewe utakuta unamwachia binti wa kazi anafanya kila kitu cha mzee anatandika anafua ananyoosha nguo za baba anamwandalia chakula mwisho upendo wa baba unahamia kwake loo ukikuta na wa singida kazi unayo bibie hata akirudi anamuuliza binti nyumban wazima
lile joka lilomshambulia mwanamke pale edeni lilimshambulia na kummaliza kabisa matoekeo tunayajua..mith 21:9,math 25:25...pia jaribu kuwa makini achanana ma xboyfriend watakusumbua sana kwenye ndoa ukishaingia umeingia ...
mwanamke asiye na ufahamu hana tofauti na nyumba ya tembe inayovuja kule singida