zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwahiyo kwa hoja ni kwamba wale manabii wa agano la kale kama kina yakobo waliooa wanawake zaidi ya wawili walikuwa wazinzi??Ndoa sahihi ambayo Mungu aliagiza ni ya mke moja na sio wake wawili au zaid maana lengo la Mungu toka mwanzo ni mke mmoja na asipewe talaka ila watu kwa sababu ugumu wa mioyo yao waliamua watakavyo wenyewe na Yesu alilijibu vizuri swali hilo kwamba sababu za kuoa mke wa pili ni moja tu uzinzi tu zaidi ya hapo anazini tu mathayo 19/7-12
Pia swali la 2 na 3 umeyasahau mkuu kuyapatia majibu