Mambo ya kushangaza Biblia inapozungumzia Ngono kwa binadamu

Kwahiyo kwa hoja ni kwamba wale manabii wa agano la kale kama kina yakobo waliooa wanawake zaidi ya wawili walikuwa wazinzi??

Pia swali la 2 na 3 umeyasahau mkuu kuyapatia majibu
 
Unapofanya romance yaani kushikana na kiss hiyo siyo zinaa mkuu
Lazima uhakikishe ni mkeo ndio umfanyie hiyo romance mkuu
Kuhusu kiss ni kwamba zamani ilikuwa ni kama kumsalimia mtu tu
 
Ni kweli walivizia kwa sababu kutokana na uovu walioufanya hata watu wa shilo waliapa hawataozesha mtoto wao wa kike wanaume wa benyamini waliobaki ndio maana waliambiwa wawe macho yaani wasionekane na wanaume wa mji wa shilo lakini bado waliozeshwa Baada ya kuwachukua na kuaidiwa kuwa baba zao au kaka zao Wakija kuwalalamikia waisraeli watawaombea wawaachie binti zao
 
We mwenyewe unafanya ngono bila kuoa au uliwahi kufanya ngono kabla hujaoa sasa na wao walikuwa wanawaka tamaa vilevile na ndio kilichowakuta kwamba kwa kuwa walikuwa mabikira na waliwaondolea ubikira wao basi sharti walipe na kuwaoa
Faini kwa sababu walienda kinyume na sheria, pili waliwaharibia maisha na wasingeweza kuolewa tena maana walikuwa wanaolewa mabikira tu
So ilibidi waozeshwe kwa nguvu
 
Shida yangu sio kwanini kulazimishwa kuolewa shida yangu ni dhambi ya UZINZI.... Torati ilisema ukilala na mwanamke kabla ya ndoa lazima upigwe mawe ila kama mwanamke ni bikra basi hupigwi mawe ila utamuoa.

Ndio nahoji kama unatoa hoja kuwa Biblia inapinga ngono kabla ya ndoa je kivipi huyu ambaye amezini na Bikra hapigwi mawe?? Ila ndio kwanza anahalalishwa aoe!! Je unaona sahihi dhambi ya uzinzi kabla ya ndoa kupewa exceptions??

Nieleweshe tafadhali
 
Kwanza Biblia haipingi ngono ila inachopinga ni uasherati yaani kufanya ngono kabla muda wa kuoa au kuolewa hujafika
So kwa kuwa wale walifanya ngono na hawakuwa na mpango na waliofanya nao ngono wa kuwaoa wakaozeshwa kwa nguvu ili wasije kukaa bila kuolewa maana kwa sheria zao walizojiwekea hakuna mwanaume ataoa msichana ambaye atashindwa kujitunza
 
Hakuna ndoa iliyoumbwa na Mungu.Kilichoumbwa na Mungu ni kuzaana.Ndoa ni taratibu zilizowekwa na binadamu wakiume kumiliki binadamu mwanamke ndo maana kila jamii,dini,na nyakati zina taratibu zake juu ya ndoa.
 
Mada nzur mkuu niko na maswali 1 au mawili kama sitakosea
1) kama ndoa ni mke 1 kwa mume 1 au mume 1 kwa mke 1 je? Vip kuhusu suleiman alieoa wake zaid ya 300?

2) je kama ngono haikutakiwa je vp kuhusu story ya lutu kuishi na wanawe?
ni hayo tu mkuu
#marongota
 
COPY / PASTE uwe unatoa credit ya waandishi
 
Ndoa kimsingi hufungwa na wazazi. Utaratibu wa viongozi wa kiimani/kidini kufungisha ndoa no mapokeo tu ya kibinadamu yanayosimamia kushikamana katika imani hiyo moja. Neno la Mungu linasema
* Mwanzo 2:25 kwa hiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.
Neno hili tunaliona kwa Abramu(Ibrahimu) alivyompatia mwanawe Isaka Mke
*Mwanzo 24:1-67.
 

Kimsingi ukishatambuliwa na wazazi wa muhusika wako means umeshaoa au kuolewa? So kanisani au msikitini mnaenda kuitambulisha taasisi yenu kuwa mko sawa kuanza ngono tendo la ndoa
 
Kwa asili binaadam ni myama jamii na likija suala la kufanya mapenzi bado binaadam kwa asili ni kama wanyama wengine tu ikikushika hamu inapaswa kumalizwa hapo na jinsia nyingine

Sasa suala la ndoa ni utaratibu kwa maana ya ki iman na kidola ili kuepusha rabsha inayoweza tokea kugombaniana sisi kwa sisi ndo ukaja huu utaratibu na umetoka wapi hasa huu utaratibu na hasa wa ki iman hapa ni mjadala mwingine unahitajika

Kwa ufupi ni ubinafsi wa binaadam (wivu) na kuepusha migongano ktk jamii ndo ukapatikana utaratibu wa ndoa unaokubalika kulingana na jamii husika lkn kwa asili binaadam sio wa haya mambo yeye anaweka au kuwekwa anapojisikia tu akiwakwa na tamaa yake, sema binaadam kafanya ngono kama starehe zaidi wakati msingi wake ni kuzaliana na kuna muda kwa huo uasili na hasa wanawake wanahitaji ukaribu na jinsia ya kiume ili kuchagiza uasili huo wa uumbaji

Haya ya kuingiliana jinsia moja ni mbwembwe tu za binaadamu kutaka kujivumbua na hayana uasili wowote
 
Afu tunaambiwa suleimani bado pamoja na kumkosea Mungu lakini bado alibariki akawa na hekima

Dunia hii bwana
 
nao walikuwa na Utaratibu wao!
 
Afu tunaambiwa suleimani bado pamoja na kumkosea Mungu lakini bado alibariki akawa na hekima

Dunia hii bwana
Soma vitabu vya Suleiman utajua Habari zake kwa ufasaha ..

Baadae hizo tabia zilimkosti akapoteza ufalme kwa uzao wake ufalme wa Israel ukapasuka na sehemu kubwa ikachukuliwa uzao wa kijakazi wake huku uzao wake ukabaki na uongozi wa kabila mbili kati ya kumi
 
Kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa au kuolewa au kutoka nje ya ndoa huko ndio kuzini mkuu au kumtamani mwanamke asiye mke wako wa ndoa
Mmmh MIE nijuavyo kuzini ni kutoka nje ndoa

Ambao hawajaoa WAKIFANYA SEX WANAKUWA WAMEFANYA UASHERAT

MZIZI WA DHAMBI

AMBAO HAWAJAOA NA WAPO KWE YE IMANI WAPIGE TU MADEM KWAN HAWATENDI DHAMBI WALA NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…