Mambo ya kushangaza Biblia inapozungumzia Ngono kwa binadamu

Zile ndoa zinazofungwa kanisani ni mpango tu wa kuandaa watoa sadaka wengi tu hamna lolote zaidi ya kuandaa mfumo wa walipa kodi kwa hiari
 
Mi naona umeongea ki jamamii zaidi, inategemea na jamii au utamaduni wa mahala ulipo, ila ndoa inaweza hata isiwe na mahali wala sherehe, inaweza hata ikawa ya mume kwa mume au mke kwa mke...mi naona ndoa ni makubariano ya watu wawili.
 
Ndoa ni makubaliano ya wawili ila sio mwanaume kwa mwanaume wala mwanamke kwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…