Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Wakuu mbona mimi najamba sana halafu mke wangu yaani ni mara chache sana kujamba. Yaani tunaweza kusema hajambi kabisa. Wakati vyakula wote tunakula hivyo hivyo nyumbani.
Mwanzoni nilikua nikimkera sana sana sasa hivi kashanzoea napiga vitu tena kwa kujiaachia.

Mfundishe na yeye muwe mnajamba kwa pamoja
 
Wakuu mbona mimi najamba sana halafu mke wangu yaani ni mara chache sana kujamba. Yaani tunaweza kusema hajambi kabisa. Wakati vyakula wote tunakula hivyo hivyo nyumbani.
Mwanzoni nilikua nikimkera sana sana sasa hivi kashanzoea napiga vitu tena kwa kujiaachia.
Mwambie mke asiwe msiri mkiwa wote
 
Kuna dada sista du nilikuwa namtongoza tumekaa sehemu naimba kinoma ananitolea nje ..... Eeh bwana eeeh si kijambo kikamchomoka aliona aibu kinoma, mi nikampoza nikamwambia usihofu umefanya vyema sio vizuri kubana ushuzi
Kwa aibu ilibidi anikubalie tu
 
Haaaa haaaa wewe sababu ya kijambo ndiyo akakubali haaa haaaa sikuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom