Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Hii ilitokea juzi kmmmk dah nilicheka sana maana kuna mwamba aliamua kulalamika baada ya kupita vishuzi vitatu vya gas kali[emoji28]!
Yupo kuna mtu anapumua yani anajamba hapa hapa tunae yani ila anashindwa kuvumilia af hewa nzito yani[emoji28]
Tigo imetoboka kwa mamiti
 
Kuna siku nilipanda hiace, wakati nashuka niliachia ushuzi unanuka hatari... Wakati nikiwa nje huko naona vioo vinafunguliwa kwa kasi, nilicheka sana.

Kumbe mnafanya makusudi 🤣🤣🤣
 
Kuna baadhi ya wanaume wanajamba kwa sauti mbele ya wanaume wenzao .. haipendezi ukijihisi kujamba kama una nafasi ya kutoka toka kajambie pembeni.. mnazinguaga kweli

Sasa akishajamba pembeni akirudi si atarudi na shombo ya ushuzi. Huoni kama bado tatizo halijatatuliwa 🤣🤣
 
Siku moja library nilijiachia vibaya kumbe kuna matron kajiinamia kwenye desktop anafanya kazi zake sijamuona
 
Tushapoteza mabaharia kwenye huu uzi
 

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba.

1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au k
Sikujua, sasa nimejua. Asante kwa maelezo yako mazuri Sana.
 
Nakumbuka miaka ya 2016 nasafiri naenda Kilosa pembeni nilikuwa nimekaa na mzee nakumbuka alikuwa kama ana miaka 60 gari inaanza safari pale ubungo yule mzee kanunua biscut anakula kufika kibaha maili moja kanunua korosho tukafika mlandizi kanunua mayai yaan nilivyoona tu ananuua mayai daa yaan nilishiwa nguvu we tumefika Ruvu hali balaa tulivyofika vijiji vya chalinze nafikiri ni mdaula wee mzee kaanza kujamba ule ushuzi wa yusuph aisee unanuka sijawahi kuona alikuwa anajamba kila dk 10 mpk kufika msamvu abiria wote hali mbaya kila mtu fungueni madirisha mtatuuwa ila mimi ndio nilikuwa nipo kiti nae nilipata shida mpk nikaugua mafua aisee siwezi kumsau yule mzee sio kwa kujamba kule hadi mafua maana mimi nina alleegy na vumbi lkn ule ushuzi sio wa nchi hii nina hakika yule mzee ukimfungia chumba na mtoto mchnga na akaanza kujamba mtoto mchanga atakufa tu ndiio maana nikiona mtu anakula ovyo katika gari nachukia hasa mayai
 
Kwa America hiyo ni sifa ila kwa hapa bongo hiyo ni kashfa ingawa hakuna mtu asiyejamba. Vipi kikao kilimalizika kwa Usalama hapo fukweni?
...hata Wahindi hawana kujinabana bana wapojamba! Huutoa tu Ushuzi kwa raha zao na Mjambaji hupewa Pole na Hata Kupongezwa!
 
Huku mtaani kwetu Kuna mzee wa kama 65 yrs,yaani ni comedy hatarii!
Sasa huyu mzee akipita,ukamwambia nikopeshe buku 5,basi hapo hapo anaachia ushuzi mfululizo mara 5!Ulimwambia nikopeshe ten,basi ushuzi mara 10 unaachiwa!Yaani muda wote Yuko standby!🤣
Mzee anazingua sana!!!!
 
Back
Top Bottom