Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

wakati nipo form 6 kuna siku jioni tunatoka shule na jamaa yangu tukapanda daladala iliyokuwa inatoka shambani huko mule ndani kuna wazee tu wametoka shamba na kwakua ilikua kuna hali ya ka mvua vioo vilikua vimefungwa
basi bwana kufika mbele kidogo gari imechochea speed ilisikika harufu kali sana ya kijampo mimi na rafiki yangu tukaamua kufungua dirisha letu lakini wapi ,harufu ilidumu kama dakika 1 yule mzee sijui alikula nini
Hizo ni sigara, mahindi ya kuchomwa, viporo vya wali maharagwe n.k.
 
[emoji23][emoji23] mkuu unatofauti gani na wanao jihusisha na vitendo vya kigaidi
Hiyo cha mtoto [emoji1][emoji1][emoji1] kuna siku nilishaachia tena ushuzi kwenye daladala mimi kwa haraka nikashika pua huku nikimuangalia kwa hasira jamaa niliyekaa nae seat moja.... Nilivyogeuza macho kwa abiria wenzangu nilikuta nao wakimuangalia jamaa kwa hasira na wengine wakisema mtu mzima hovyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila ulikuwa na adabu angekuwa mtoto mwingine angesema sio Mimi[emoji23][emoji23][emoji23], kwetu mtoto alisingiziwa na huyo Mzee walikuwa wazee wengi nayeye alikuwa na Baba yake, asubuhi yake huyo Mzee kamfuata twende ukale chakula mtoto ulinitoa aibu kamchinjia na kuku kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sisi wakike tuna kile tunakiachia halafu kinapitia kwenye papuchi hasa ukiwa umekaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Mama nimekunyooshea mikono..
Japo ni comment ya zamani.
 
Mimi nilikuwa napiga kazi ofisi fulani hv kuna mfanyakazi mwenzangu tumezoeana mno kupitiliza, yeye huyo huwa anajamba tu haonagi noma, ss katka ile ofisi mteja akija lazima afikie kwangu alafu ndiyo aingie chumba alicho huyo jamaa yng.

Ss cku hyo jamaa yng kaja ofisini kwng tukawa tunapiga story ghafla akamuachia Yusuf km kawaida yake mara mteja akaja jamaa akaenda ofisini kwake mm nikawa kwangu, ile pisi ikaingia ikanikuta peke angu daahh mm mwenyewe ile harufu ilinikera sn yn pisi imekaa imekunja uso kinoma huku inaniangalia kwa hasira daaahh nilijisikia vby sn cku ile aloo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimekumbuka kipindi nipo darasa la 6 mwalim alikua anapita kwenye madawati kwa bahati mbaya kuna mtu alijamaba kimya kimya bila kusikika. Wanafunzi na mwalim tukwa kimya, sasa mdada mmoja ambae hawezi mdomo wake akaropoka "mmmmh kuna mtu kashaharibu hali ya hewa". Basi na mwalim akaamua atupige fimbo darasa zima. Kwanini alitupiga??? Kwasababu tulishindwa kuwa wasiri maana alisema hata yeye alisikia ila kwa kuwa tulioharibu hali ya hewa tulishindwa kuvumilia na yeye uvumilivu ukamshinda .
 
Usiombe itokee kwenye daladala alafu uwe umesimama.
Hii ilitokea juzi kmmmk dah nilicheka sana maana kuna mwamba aliamua kulalamika baada ya kupita vishuzi vitatu vya gas kali😅!
Yupo kuna mtu anapumua yani anajamba hapa hapa tunae yani ila anashindwa kuvumilia af hewa nzito yani😅
 
Mimi nilikuwa napiga kazi ofisi fulani hv kuna mfanyakazi mwenzangu tumezoeana mno kupitiliza, yeye huyo huwa anajamba tu haonagi noma, ss katka ile ofisi mteja akija lazima afikie kwangu alafu ndiyo aingie chumba alicho huyo jamaa yng.

Ss cku hyo jamaa yng kaja ofisini kwng tukawa tunapiga story ghafla akamuachia Yusuf km kawaida yake mara mteja akaja jamaa akaenda ofisini kwake mm nikawa kwangu, ile pisi ikaingia ikanikuta peke angu daahh mm mwenyewe ile harufu ilinikera sn yn pisi imekaa imekunja uso kinoma huku inaniangalia kwa hasira daaahh nilijisikia vby sn cku ile aloo [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba.

1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen, asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.

Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.

2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai.

View attachment 1498819

3. Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku [emoji23][emoji23]. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.[emoji41]

4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua. (Kwa mtu mnene kama Kiduku Lilo inaweza chukua hata nusu saa[emoji23][emoji23])

5. Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).

View attachment 1498820

6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".

Swali kwako.

Je, ulishawahi kujamba sehemu ambayo ukahisi hukustahil kufanya hivyo iwe kwa bahati mbaya au kukusudia?
Yaan hiv juzijuzi tu nilikua kwa mcheps wangu hlf ni mkuu wa wilaya khaa vile tumekaa tunapiga stori akajamba bhana tena kwa saut aah nikakaushia ila vinanukaaa! Usiku tena tumelala ndiyo natafuta usingizi ash nikasikia harufu kali dah! Nilichukia na tangu siku hiyo simtak tena japo sijamwambia
 
Kuna baadhi ya wanaume wanajamba kwa sauti mbele ya wanaume wenzao .. haipendezi ukijihisi kujamba kama una nafasi ya kutoka toka kajambie pembeni.. mnazinguaga kweli
 
Back
Top Bottom