Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Kuna ile mmejifunika shuka alafu mwenzako anakiachia kimyakimya[emoji23],, lazima ufunue shuka.
Inabidi atueleweshe hapo kwa kweliMkuu kwanini ushuzi wa silence,,,,unakuwa na harufu mbaya kuliko ule ushuzi wa sauti?
😂😂😂Raha ya Kujamba ujambe ndani ya shuka au blanket then ujifukuze huo ushuzi!
Mama Debora!Mama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
Amekimbia Uzi mkuu,,Inabidi atueleweshe hapo kwa kweli
Hahaha 😂 dah nimecheka sanaNiliendaga kijijini BK huko nipo mdogoo. Wakati wa kula sasa kiherehere changu kikanipeleka kula kwa wakubwa badala ya kula na watoto wenzangu.Wakati wa kula mtu mzima akajamba kofi nikapewa mimi dah! Halafu na kufokewa juu.Baada ya msosi mama akanifuata kunibembeleza. Nikamwambia siwezi kukaa huku tuondoke.Ndani ya siku mbili tu tukarudi Mwanza.
Yaani wakubwa starehe yenu halafu makofi mtupige sie! Tamaduni za ajabu sana!
[emoji23][emoji23] naona unataka kutoa Siri yako Ila inakataaaWaliowahi kujaribu kujamba kwa kujilazimisha mpaka wakapitiliza na vitu vikatoka bila kutegemea,waseme Neno la ushuhuda
Naona umejitokeza wa kwanza karibu ushuhudie kilichokusibu[emoji23][emoji23] naona unataka kutoa Siri yako Ila inakataaa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Haa ha..Usijaribu kujamba akati unatumbo la kuharaaa yani USIJARIBUU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waliowahi kujaribu kujamba kwa kujilazimisha mpaka wakapitiliza na vitu vikatoka bila kutegemea,waseme Neno la ushuhuda
Ule wa "yuuusuuphh" unakuwaga silent killer sana
Inahitajika tahadhari ya hali ya juu vinginevyo kutakuwa na mingurumo ya hapa na pale kutoka kwa wajumbe inzi wakipiga misele makalioni mwa muhusikaHaa ha..Usijaribu kujamba akati unatumbo la kuharaaa yani USIJARIBUU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke anayeweza kujamba mbele yako usimwache. Anakuamini na hakufichi kitu chochote huyo.Nachukia mtu akijamba au akibeua mbele yangu,
Nahisi kichefu chefu sana,
Niliachana na msichana aliyekua anapenda kujamba jamba kila saa halafu anacheka, damn!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh! Hell no, kwangu ni kero pia napata kichefu chefu na mood inabadilika kabisa.Mwanamke anayeweza kujamba mbele yako usimwache. Anakuamini na hakufichi kitu chochote huyo.
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba.
1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen, asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai.
View attachment 1498819
3. Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku 😂😂. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.😎
4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua. (Kwa mtu mnene kama Kiduku Lilo inaweza chukua hata nusu saa😂😂)
5. Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).
View attachment 1498820
6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
Swali kwako.
Je, ulishawahi kujamba sehemu ambayo ukahisi hukustahil kufanya hivyo iwe kwa bahati mbaya au kukusudia?