Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

Jamaa umesema ukitoka chooni unatumia mkono wa kushoto kujisafisha kwa wanaotumia mkono wa kulia, na mimi niwaambie tu kama hiyo choo ina maji utatumia mkono wa kushoto, ila kama ina toilet paper tusidanganyane[emoji3][emoji3]utatumia tu mkono wa kulia, hata ww hapo ebu unatumia wa kulia kufuta huo uchafu wako
 
Hata wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto ni ngumu kumkaba

Refer Lionel Messi (Goat) [emoji238]
"wale waovu (mbuzi) hutumwa upande wa kushoto nao wale wa kuokolewa (kondoo) hutumwa upande wa kulia"
Hivi hio (Goat [emoji238]) mnaowaita masuper star wa kandanda inamaanisha ni watu waovu au?
 
Safi sana, umekamilisha orodha ya watu maarufu wanaotumia mkono wa kushoto
Mbona kwenye tasnia hujataja hata mmoja,

Kwa HARAKA HARAKA nnaowafahamu wanatumia mashoto Ni÷
1. Jayden Jaymes
2. Brea Bennett
3. Sandy Sweet
4. Melissa Lauren
5. Veronica Clinton
6. Jillian Janson
7. Piper Perri
8. Kenzie Reeves
9. Abigail Mac
10. Bonnie Rotten
11. Jenna Presley
12. Jasmine Caro
13. Nina Elle
14.Sophie Dee
15. Trinity St Clair
16. Katie Morgan
17. Aspen Rae
18. Gia Derza
19. Alexis Adams
20. Mindy Main
21. Jada Stevens
22. Bobbi starr
23.......

Wengine Kama nmesahau ongezeeni[emoji12]

Ila Cha kufurahisha,
NA MIMI PIA NATUMIA MASHOTO[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.

Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango.

Fikiria pia kuhusu kipanya katika vituo vya kupokea huduma ya mtandao, mara nyingi utapata kimewekwa upande wa kulia.

Kuna pia viti vyenye sehemu ya kuandikia vyuoni, ni vichache sana hujengwa kwa matumizi ya watu wanaotumia mkono wa kushoto. Inakadiriwa kwamba kati ya watu asilimia 10 hadi 13 duniani hutumia zaidi mkono wa kushoto.

Siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto huadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Agosti.

Siku hii iliadhimishwa mara ya kwanza mwaka 1976.Haya hapa ni baadhi ya mambo kumi
ya kushangaza kuhusu watu wanaotumia mkono wa kushoto:

1.Asilimia kumi kati ya watu wote duniani hutumia mkono wa kushoto, na kiwango hiki kimesalia hivyo kwa muda mrefu. Wanaume wana uwezekano mkubwa wa kuwa wanatumia mkono wa kushoto.

2.Kwa muda mrefu katika jamii nyingi, watu wenye kutumia mkono wa kushoto walichukuliwa kuwa dhaifu. Si ajabu kwamba huenda uliwaona au unawaona watoto wanaochapwa sana kwa kutumia mkono wa kushoto wakila au wakiandika. Katika baadhi ya jamii, kutumia mkono wa kushoto huhusishwa na uchawi.

3.Kumsalimia mtu kwa kutumia mkono wa kushoto kumekuwa kukitazamwa kama kumkosea mtu heshima. Hii ni kwa sababu watu zamani walikuwa wakitumia mkono wa kushoto kujitakasa baada ya kwenda msalani.

4.Bingwa wa tenisi duniani Rafael Nadal alibadilisha na kuanza kutumia mkono wake wa kushoto akicheza - kutokana na imani ya mkufunzi wake Toni Nadal kwamba ingempatia nafuu kiasi akikabiliana na wachezaji wengine uwanjani.

5.Mrengo wa kushoto? Jina hili lilianza kutumiwa miaka ya 1790 baada ya mapinduzi ya Ufaransa na kuondolewa kwa utawala wa kifalme. Wawakilishi wa chama cha kishoshialisto katika bunge walikuwa wakikaa upande wa kushoto wa kiongozi wa vikao. Watu wa mrengo wa kushoto wakati huo walikuwa wakitazamwa kama maadui wa wasomi na watawala.

Mkono 'huathiri' mawimbi ya simu
6.Kwa muda mrefu, dini ya Kikristo ilihusisha upande wa kushoto na maovu. Kwenye picha nyingi za Siku ya Kiama, wale waovu (mbuzi) hutumwa upande wa kushoto nao wale wa kuokolewa (kondoo) hutumwa upande wa kulia. Wakati wa kusulubiwa kwa Yesu, mwizi aliyetubu alikuwa amewekwa upande wa kulia na yule mwovu alikuwa upande wa kushoto.

7.Watano kati ya marais wanane wa karibuni zaidi nchini Marekani hutumia mkono wa kushoto kuandika. Marais hao ni Gerald Ford, Ronald Reagan, George H.W. Bush, Bill Clinton, na Barack Obama.

8.Kuna pahala penye jina Left Hand (Mkono wa Kushoto). Eneo hilo hupatikana katika jimbo la West Virginia na hutokana na kijito cha Lefthand Run.

Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama,
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,
Mwanamfalme William wa Uingereza,
Msanii Angelina Jolie,
Mwanasayansi Albert Einstein,
Mwigizaji Tom Cruise,
Mwanamuziki David Bowie,
Mwanariadha Paula Radcliffe,
Mwanakandanda Pele,
Mwanaanga za juu Neil Armstrong,
Mwanasayansi Marie Curie,
Bondia Manny Pacquiao,
Mwanaviwanda Henry Ford,
Mwanamuziki Justin Bieber,
Mwanamuziki Lady Gaga,
Mwanamuziki Marshall Bruce, Mathers III maarufu kama Eminem,
Mwanamuziki Paul McCartney,
Mwigizaji Jennifer Lawrence,
Mwanafalsafa Aristotle,
Mvumbuzi na mchoraji Leonardo Da Vinci,

View attachment 2034681
Kilaza 50 Cent picha nyingi uwa anapiga picha akiwa ameshika peni, mkono wa kushoto lakini atumiii mkono wa kushoto
 
Mimi binafsi nilipigwa sana na mzazi wangu baada ya kuona naandikia mashoto..nilikuwa nachezea kichapo si cha kitoto namshukuru Mungu nikafaulu kujiunza kuandika na mkono wa kulia....ila kazi nyingine zote zimebak mkono wa kushoto..siwez kabisa kufua kuosha vyombo au kaz za nyumban kwa mkono wa kulia bado shoto lina nguvu sana kwenye kazi..

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.

Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango.

Fikiria pia kuhusu kipanya katika vituo vya kupokea huduma ya mtandao, mara nyingi utapata kimewekwa upande wa kulia.

Kuna pia viti vyenye sehemu ya kuandikia vyuoni, ni vichache sana hujengwa kwa matumizi ya watu wanaotumia mkono wa kushoto. Inakadiriwa kwamba kati ya watu asilimia 10 hadi 13 duniani hutumia zaidi mkono wa kushoto.

Siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto huadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Agosti.

Siku hii iliadhimishwa mara ya kwanza mwaka 1976.Haya hapa ni baadhi ya mambo kumi
ya kushangaza kuhusu watu wanaotumia mkono wa kushoto:

1.Asilimia kumi kati ya watu wote duniani hutumia mkono wa kushoto, na kiwango hiki kimesalia hivyo kwa muda mrefu. Wanaume wana uwezekano mkubwa wa kuwa wanatumia mkono wa kushoto.

2.Kwa muda mrefu katika jamii nyingi, watu wenye kutumia mkono wa kushoto walichukuliwa kuwa dhaifu. Si ajabu kwamba huenda uliwaona au unawaona watoto wanaochapwa sana kwa kutumia mkono wa kushoto wakila au wakiandika. Katika baadhi ya jamii, kutumia mkono wa kushoto huhusishwa na uchawi.

3.Kumsalimia mtu kwa kutumia mkono wa kushoto kumekuwa kukitazamwa kama kumkosea mtu heshima. Hii ni kwa sababu watu zamani walikuwa wakitumia mkono wa kushoto kujitakasa baada ya kwenda msalani.

4.Bingwa wa tenisi duniani Rafael Nadal alibadilisha na kuanza kutumia mkono wake wa kushoto akicheza - kutokana na imani ya mkufunzi wake Toni Nadal kwamba ingempatia nafuu kiasi akikabiliana na wachezaji wengine uwanjani.

5.Mrengo wa kushoto? Jina hili lilianza kutumiwa miaka ya 1790 baada ya mapinduzi ya Ufaransa na kuondolewa kwa utawala wa kifalme. Wawakilishi wa chama cha kishoshialisto katika bunge walikuwa wakikaa upande wa kushoto wa kiongozi wa vikao. Watu wa mrengo wa kushoto wakati huo walikuwa wakitazamwa kama maadui wa wasomi na watawala.

Mkono 'huathiri' mawimbi ya simu
6.Kwa muda mrefu, dini ya Kikristo ilihusisha upande wa kushoto na maovu. Kwenye picha nyingi za Siku ya Kiama, wale waovu (mbuzi) hutumwa upande wa kushoto nao wale wa kuokolewa (kondoo) hutumwa upande wa kulia. Wakati wa kusulubiwa kwa Yesu, mwizi aliyetubu alikuwa amewekwa upande wa kulia na yule mwovu alikuwa upande wa kushoto.

7.Watano kati ya marais wanane wa karibuni zaidi nchini Marekani hutumia mkono wa kushoto kuandika. Marais hao ni Gerald Ford, Ronald Reagan, George H.W. Bush, Bill Clinton, na Barack Obama.

8.Kuna pahala penye jina Left Hand (Mkono wa Kushoto). Eneo hilo hupatikana katika jimbo la West Virginia na hutokana na kijito cha Lefthand Run.

Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama,
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,
Mwanamfalme William wa Uingereza,
Msanii Angelina Jolie,
Mwanasayansi Albert Einstein,
Mwigizaji Tom Cruise,
Mwanamuziki David Bowie,
Mwanariadha Paula Radcliffe,
Mwanakandanda Pele,
Mwanaanga za juu Neil Armstrong,
Mwanasayansi Marie Curie,
Bondia Manny Pacquiao,
Mwanaviwanda Henry Ford,
Mwanamuziki Justin Bieber,
Mwanamuziki Lady Gaga,
Mwanamuziki Marshall Bruce, Mathers III maarufu kama Eminem,
Mwanamuziki Paul McCartney,
Mwigizaji Jennifer Lawrence,
Mwanafalsafa Aristotle,
Mvumbuzi na mchoraji Leonardo Da Vinci,

View attachment 2034681
Leornado Da Vinci alikuwa akitumia mikono yote miwili. Kwa wakati mmoja, mkono wake wa kulia ukiandika hadithi nzuri sana na mkono wa kushoto ukichora picha nzuri sana ya kukumbukwa.

Fadhy mwana fasihi nguli ambaye pia ni mpishi mbobevu, yeye hutumia mashoto kuandika uke mwandiko wake mzuri na kuchora michoro yake adhimu.
Fadhy pia ni mpiga picha maridadi sana.
 
Back
Top Bottom