Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

Jamaa umesema ukitoka chooni unatumia mkono wa kushoto kujisafisha kwa wanaotumia mkono wa kulia, na mimi niwaambie tu kama hiyo choo ina maji utatumia mkono wa kushoto, ila kama ina toilet paper tusidanganyane[emoji3][emoji3]utatumia tu mkono wa kulia, hata ww hapo ebu unatumia wa kulia kufuta huo uchafu wako
 
Hata wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto ni ngumu kumkaba

Refer Lionel Messi (Goat) [emoji238]
"wale waovu (mbuzi) hutumwa upande wa kushoto nao wale wa kuokolewa (kondoo) hutumwa upande wa kulia"
Hivi hio (Goat [emoji238]) mnaowaita masuper star wa kandanda inamaanisha ni watu waovu au?
 
Safi sana, umekamilisha orodha ya watu maarufu wanaotumia mkono wa kushoto
 
Kilaza 50 Cent picha nyingi uwa anapiga picha akiwa ameshika peni, mkono wa kushoto lakini atumiii mkono wa kushoto
 
Mimi binafsi nilipigwa sana na mzazi wangu baada ya kuona naandikia mashoto..nilikuwa nachezea kichapo si cha kitoto namshukuru Mungu nikafaulu kujiunza kuandika na mkono wa kulia....ila kazi nyingine zote zimebak mkono wa kushoto..siwez kabisa kufua kuosha vyombo au kaz za nyumban kwa mkono wa kulia bado shoto lina nguvu sana kwenye kazi..


Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
Leornado Da Vinci alikuwa akitumia mikono yote miwili. Kwa wakati mmoja, mkono wake wa kulia ukiandika hadithi nzuri sana na mkono wa kushoto ukichora picha nzuri sana ya kukumbukwa.

Fadhy mwana fasihi nguli ambaye pia ni mpishi mbobevu, yeye hutumia mashoto kuandika uke mwandiko wake mzuri na kuchora michoro yake adhimu.
Fadhy pia ni mpiga picha maridadi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…